Usimsahau kumtag
Kiranga mkongwe kwenye mijadara ya namna hii… kasema hivi: “Naam,
CCM imeshindwa na inatakiwa kuondolewa, lakini jeshi si jibu pekee, si jibu la kidemokrasia, na ni jibu lenye matatizo mengi sana ambayo tunaweza kuyaepuka kwa kujielekeza kwenye uongozi wa kiraia.”
Hilo la kumtoa Lisu, Heche na Polepole ni short term measure, katiba ya Warioba ni moto sana, issue ni namna gani bora ya kuipitisha hiyo katiba ikiwa nchi imegawanyika nusu Kwa nusu - kati ya watawala na wapinzani wao?