Eagle Wa njano
Member
- Apr 7, 2018
- 10
- 14
Habari gani mabibi na manabwa, karibuni tulijadiri hili.
Kila siku utakuta watu wakilaumu serikali zao hasa za ki Africa kuhusu viongozi wetu na weakness za katiba, je katiba tu ndo inaweza leta matokeo chanya kwa taifa? Je katiba ndio chanzo cha mikopo isiyokuwa na ulazima?
All in all ebu tupeane madini hapo wanajamvi.
Nawasilisha