Eagle Wa njano
Member
- Apr 7, 2018
- 10
- 14
Lengo la katiba ya nchi ni kuhakikisha kuwa wananchi wanaishi kwa haki ya kila jambo walitendalo na si kwa uchaguzi au siasa tu. Nchi ni kama chama ambacho wananchi waliomo ndani ya mipaka yake lazima wajiwekee mfumo wa kuendesha mambo yao yote kwa haki, haki hii ni ile ya kuishi, kabla na baada ya kuzaliwa.Habari gani mabibi na manabwa. Karibuni tulijadiri hili
Kila siku utakuta watu wakilaumu serikali zao hasa za ki Africa kuhusu viongozi wetu na weakness za katiba, je katiba tu ndo inaweza leta matokeo chanya kwa taifa? Je katiba ndio chanzo cha mikopo isiyokuwa na ulazima?
All in all ebu tupeane madini hapo wanajamvi.
Nawakilisha
Hapana siyo Latiba..Habari gani mabibi na manabwa. Karibuni tulijadiri hili
Kila siku utakuta watu wakilaumu serikali zao hasa za ki Africa kuhusu viongozi wetu na weakness za katiba, je katiba tu ndo inaweza leta matokeo chanya kwa taifa? Je katiba ndio chanzo cha mikopo isiyokuwa na ulazima?
All in all ebu tupeane madini hapo wanajamvi.
Nawakilisha
Kwa katiba hii maandamano ni hadi uombe kibali cha polisi[emoji16]Hapana siyo Latiba..
Ni wananchi wenyewe kukataa upuuzi Kwa maandamano
Hapo nyuma kidogo watu walikuwa wanaweza kuandamana ila sasa hivi kama wapo bize na mambo mengine.Hapana siyo Latiba..
Ni wananchi wenyewe kukataa upuuzi Kwa maandamano
Yes. Katiba ni jibu. Kuna mifano wa nchi za kiafrika ambako mwangaza wa utawala bora umeonekana;-Botswana, Ghana, Kenya na Malawi.Kila siku utakuta watu wakilaumu serikali zao hasa za ki Africa kuhusu viongozi wetu na weakness za katiba, je katiba tu ndo inaweza leta matokeo chanya kwa taifa?
Katiba mpya ni muhimu sana, ila kwa upande wang baada ya katiba mpya bas kuwe na vyama at least viwili tu vya siasa. Nadhan kutakua na ushindan san, kuliko hili sokomoko la utitir wa vyama vya siasa!!Habari gani mabibi na manabwa, karibuni tulijadiri hili.

Nawasilisha