Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Ni kweli kabisa, hii Jf imejaa viazi vingi sana. Hasa viazi ufipa, aaaaaah vile viazi havifai kabisa.Mkuu Thinker96, kwanza nikupe pole maana kiukweli kabisa, elimu ya katiba bado inahitajika sana kwa Watanzania walio wengi, maana Kiukweli wengi humu ni viazi mpaka basi!.
1. Rais Samia hakaimu urais wa JPM, urais wa JPM ilikoma ile March 17!. Sasa Samia ndiye rais wa JMT na sio kaimu.
4. Hii miaka 4 ya JPM, Samia
anayoimalizia, sio kumshikia JPM, bali ndio term yake ya kwanza. Term yake ya pili ya Samia ni 2025-2030!.
Kiukweli kadri siku zinavyokwenda, ndivyo viazi humu vinazidi kuongezeka!.
Pole!.
P
Watu hawajui chochote zaidi ya matusi, wabishi wenye kujiona wako sawa kwa kila kitu.
Wao wanadhani hii inchi ni kama club tu😅.