Je katika historia za Dunia kuna falme yoyote iliyoongozwa na mwanamke iliwahi kusimama imara bila kuanguka?

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Tafadhari sana naomba tushirikiane kwenye mjadala kwa kuangalia nafasi ya mwanamke katika kupewa uongozi wa juu katika jamii zenye ufalme.

Je mwanamke amewahi kuweza kuongoza falme yoyote hapa Duniani na ikasimama bila kuanguka?. Na ilikuwa ni falme ipi?

Karibu kwenye comments natarajia mjadala mkali na wenye moto mkubwa.

Referee ntakuwa katikati ya dimba.

Mimi referee jibu langu ni hapana mwanamke hajawahi kuweza hilo na hatoweza kamwe hadi milele.

Wadiz
 
Je mwanamke amewahi kuweza kuongoza falme yoyote hapa Duniani na ikasimama bila kuanguka.

Karibu kwenye comments natarajia mjadala mkali na wenye moto mkubwa.

Referee ntakuwa katikati ya dimba.

Mimi referee jibu langu ni hapana mwanamke hajawahi kuweza hilo na hatoweza kamwe hadi milele.

Wadiz
Ufalme wa Ethiopia Qn of Sheba
 
Bible imesema huyo kiumbe ni dhaifu iweje upingane na bible? Huoni nchi yetu inavyojiendea?

Naamini haitokuja kutokea kuwa na rais mwanamke tena, labda sijui nini kitokee. (makosa kama ya sasa)
 
Tafadhari sana naomba tushirikiane kwenye mjadala kwa kuangalia nafasi ya mwanamke katika kupewa uongozi wa juu katika jamii zenye ufalme.

Je mwanamke amewahi kuweza kuongoza falme yoyote hapa Duniani na ikasimama bila kuanguka?. Na ilikuwa ni falme ipi?

Karibu kwenye comments natarajia mjadala mkali na wenye moto mkubwa.

Referee ntakuwa katikati ya dimba.

Mimi referee jibu langu ni hapana mwanamke hajawahi kuweza hilo na hatoweza kamwe hadi milele.

Wadiz
UTAWALA pekee ulioshindwa ni wa mama yako aliyekuzaa kwa kushindwa kukulea vizuri na kuwa na heshima kwa wanawake .. ifike sehemu tuwe na heshima kwa viongozi wa nchi bila kujali jinsia. mama yako angekuwa Rais ungejisikiaje akikejeliwa?
 
Queen Elizabeth II of the United Kingdom.. She holds the record of Longest Monsrch in the British History.. More than 60 years..
 
UTAWALA pekee ulioshindwa ni wa mama yako aliyekuzaa kwa kushindwa kukulea vizuri na kuwa na heshima kwa wanawake .. ifike sehemu tuwe na heshima kwa viongozi wa nchi bila kujali jinsia. mama yako angekuwa Rais ungejisikiaje akikejeliwa?
Mkuu mbona povu hapo hajatajwa mtu nadhani burasa zingetumika tu kuchangia kuliko mtolea maneno makali
 
  • Thanks
Reactions: BRB
Tafadhari sana naomba tushirikiane kwenye mjadala kwa kuangalia nafasi ya mwanamke katika kupewa uongozi wa juu katika jamii zenye ufalme.

Je mwanamke amewahi kuweza kuongoza falme yoyote hapa Duniani na ikasimama bila kuanguka?. Na ilikuwa ni falme ipi?

Karibu kwenye comments natarajia mjadala mkali na wenye moto mkubwa.

Referee ntakuwa katikati ya dimba.

Mimi referee jibu langu ni hapana mwanamke hajawahi kuweza hilo na hatoweza kamwe hadi milele.

Wadiz
Mbona wengi sema huwa wanaitwa malkia kama yule wa ukolonini aliyefariki juzi juzi na watawala wetu wakapandishwa daladala
 
Back
Top Bottom