Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Ufalme wa Ethiopia Qn of ShebaTafadhari sana naomba tushirikiane kwenye mjadala kwa kuangalia nafasi ya mwanamke katika kupewa uongozi wa juu katika jamii zenye ufalme.
Je mwanamke amewahi kuweza kuongoza falme yoyote hapa Duniani na ikasimama bila kuanguka.
Karibu kwenye comments natarajia mjadala mkali na wenye moto mkubwa.
Referee ntakuwa katikati ya dimba.
Mimi referee jibu langu ni hapana mwanamke hajawahi kuweza hilo na hatoweza kamwe hadi milele.
Wadiz
Yule aliyempelekea kipochi Afande Sele!Ufalme wa Ethiopia Qn of Sheba
Rais haongozi KanisaBible imesema huyo kiumbe ni dhaifu iweje upingane na bible? Huoni nchi yetu inavyojiendea?
Naamini haitokuja kutokea kuwa na rais mwanamke tena, labda sijui nini kitokee. (makosa kama ya sasa)
Ni ile ya kahaba mkuu wa makahaba, ipo mpaka sasa hiyo falme na ina makao yake huko kuzimuJe mwanamke amewahi kuweza kuongoza falme yoyote hapa Duniani na ikasimama bila kuanguka?. Na ilikuwa ni falme ipi?
UTAWALA pekee ulioshindwa ni wa mama yako aliyekuzaa kwa kushindwa kukulea vizuri na kuwa na heshima kwa wanawake .. ifike sehemu tuwe na heshima kwa viongozi wa nchi bila kujali jinsia. mama yako angekuwa Rais ungejisikiaje akikejeliwa?Tafadhari sana naomba tushirikiane kwenye mjadala kwa kuangalia nafasi ya mwanamke katika kupewa uongozi wa juu katika jamii zenye ufalme.
Je mwanamke amewahi kuweza kuongoza falme yoyote hapa Duniani na ikasimama bila kuanguka?. Na ilikuwa ni falme ipi?
Karibu kwenye comments natarajia mjadala mkali na wenye moto mkubwa.
Referee ntakuwa katikati ya dimba.
Mimi referee jibu langu ni hapana mwanamke hajawahi kuweza hilo na hatoweza kamwe hadi milele.
Wadiz
Si yule Malikia aliyeangukia ktk penzi la nabii Suleiman na kuzaa nae?Ufalme wa Ethiopia Qn of Sheba
Mkuu mbona povu hapo hajatajwa mtu nadhani burasa zingetumika tu kuchangia kuliko mtolea maneno makaliUTAWALA pekee ulioshindwa ni wa mama yako aliyekuzaa kwa kushindwa kukulea vizuri na kuwa na heshima kwa wanawake .. ifike sehemu tuwe na heshima kwa viongozi wa nchi bila kujali jinsia. mama yako angekuwa Rais ungejisikiaje akikejeliwa?
She was standing like a shadow#NYWAQueen Elizabeth II of the United Kingdom.. She holds the record of Longest Monsrch in the British History.. More than 60 her duties
Nitolee upumbavu wako hapaMkuu mbona povu hapo hajatajwa mtu nadhani burasa zingetumika tu kuchangia kuliko mtolea maneno makali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nitolee upumbavu wako hapa
Mbona wengi sema huwa wanaitwa malkia kama yule wa ukolonini aliyefariki juzi juzi na watawala wetu wakapandishwa daladalaTafadhari sana naomba tushirikiane kwenye mjadala kwa kuangalia nafasi ya mwanamke katika kupewa uongozi wa juu katika jamii zenye ufalme.
Je mwanamke amewahi kuweza kuongoza falme yoyote hapa Duniani na ikasimama bila kuanguka?. Na ilikuwa ni falme ipi?
Karibu kwenye comments natarajia mjadala mkali na wenye moto mkubwa.
Referee ntakuwa katikati ya dimba.
Mimi referee jibu langu ni hapana mwanamke hajawahi kuweza hilo na hatoweza kamwe hadi milele.
Wadiz