Je, kauli ya Rais Samia inathibitisha kuwa ni wakati wa Mwenge wa Uhuru kuwekwa kando?

Heci

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
3,591
Reaction score
6,114
Mwenge umelaaniwa na vitabu mbali mbali vya maandiko tofauti, mathalani kwenye Biblia kitabu cha Isaya 50:11 kinaeleza kwamba kwa kukimbiza mwenge tutalala kwa huzuni, kulala kwa huzuni ni kutofanikiwa kwenye mambo yako.


Magufuli alitambua kuwa ili rasilimali zetu ziweze kutufaidisha ni lazima mwenge tuuweke kabatini, yale mamia ya bilioni ya kukimbiza mwenge yakafanye shughuli nyingine za maendeleo.

Leo mama kaupiga mwingi kwa mara nyingine, kaamuru lile li mwenge la pale daraja jipya la Tanzanite ling'olewe .

Sasa sijui jamaa wakisha ling'oa watalitupa baharini au watalipeleka kulipima kwenye vyuma chakavu?

Viva mama โค
 
Upotevu wa pesa.. Ina maana kweli hakuliona hilo tangu picha za ujenzi mpaka uzinduzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ