Je, kauli ya Rais Samia inathibitisha kuwa ni wakati wa Mwenge wa Uhuru kuwekwa kando?

Je, kauli ya Rais Samia inathibitisha kuwa ni wakati wa Mwenge wa Uhuru kuwekwa kando?

Mwenge ni chanzo cha umalaya na kuzaa watoto wasiokuwa kwenye mipango ya wazinzi husika..

Ufutwe kabisa
 
Gharama mara mbili,, hapo tena kuna mwana anaenda kula pesa za walipa kodi...

Nafikiri mama na wasaidizi wake wawe wanapewa michoro mapema,,ila kama wana recommendation wazitoe mapema kuepuka gharama..

Btw Daraja linaitwa Tanzanite halafu mnaweka nembo ya mwenge H A I P E N D E Z I
 
Mwenge umelaaniwa na vitabu mbali mbali vya maandiko tofauti, mathalani kwenye Biblia kitabu cha Isaya 50:11 kinaeleza kwamba kwa kukimbiza mwenge tutalala kwa huzuni, kulala kwa huzuni ni kutofanikiwa kwenye mambo yako.

View attachment 2163058

Magufuli alitambua kuwa ili rasilimali zetu ziweze kutufaidisha ni lazima mwenge tuuweke kabatini, yale mamia ya bilioni ya kukimbiza mwenge yakafanye shughuli nyingine za maendeleo.

Leo mama kaupiga mwingi kwa mara nyingine, kaamuru lile li mwenge la pale daraja jipya la Tanzanite ling'olewe .

Sasa sijui jamaa wakisha ling'oa watalitupa baharini au watalipeleka kulipima kwenye vyuma chakavu?

Viva mama ❤
Invention ya Sheik Yahya na Gunze. Baada ya kutoka kwenye matambiko yao Bagamoyo
 
Wao wanautaka? Sera zao zinasemaje kuhusu Mwenge? Wanataka uendelee kuzungushwa kwa pesa za walipa kodi au uwekwe makumbusho?
Sera zao unaniuliza Mimi?

Unaposema pesa za walipa Kodi, ulishawahi kusikia budget ya mwenge?

Kama una uchungu sana na pesa za walipa Kodi kwanini hutaki kuanzia movement ya kupinga Ruzuku ya Vyama vya siasa pamoja na pension kwa wabunge ambayo haitokani na Makato kwenye mishahara yao?
 
Fursa haikutafuti…weee ndio wa kuji position

Mpira wa Kona wee unaenda kusimama katikati ya Uwanja halafu nwisho wa Ligi unasema huna bahati na magoli ya kona!
Hizo fursa zina wenyewe kama nyie boss,wazee wa per diem
 
Gharama mara mbili,, hapo tena kuna mwana anaenda kula pesa za walipa kodi...

Nafikiri mama na wasaidizi wake wawe wanapewa michoro mapema,,ila kama wana recommendation wazitoe mapema kuepuka gharama..

Btw Daraja linaitwa Tanzanite halafu mnaweka nembo ya mwenge H A I P E N D E Z I
Mwenge ni alama ya taifa inaweza kuwekwa popote pale

Tanzanite ni madini ambayo yanaweza kuisha leo au kesho Ila mwenge ni alama ya taifa ambayo itakuwepo leo hadi kesho
 
Fursa haikutafuti…weee ndio wa kuji position

Mpira wa Kona wee unaenda kusimama katikati ya Uwanja halafu nwisho wa Ligi unasema huna bahati na magoli ya kona!
Nipe connection
 
Back
Top Bottom