Je, kauli ya Rais Samia inathibitisha kuwa ni wakati wa Mwenge wa Uhuru kuwekwa kando?

Je, kauli ya Rais Samia inathibitisha kuwa ni wakati wa Mwenge wa Uhuru kuwekwa kando?

Kujifanya ujuaji tu. Kama tayari umewekwa una leta shida gani!? Au hiyo Tanzanite symbol itaongeza nini cha faida?
 
Mwenge ni alama ya taifa inaweza kuwekwa popote pale

Tanzanite ni madini ambayo yanaweza kuisha leo au kesho Ila mwenge ni alama ya taifa ambayo itakuwepo leo hadi kesho

Mkuu tanzanite haiwezi kuisha leo wala kesho....

Huo mwenge unasaidia nini kwenye hili taifa letu...????
 
Nembo gani nyingine ya nchi inayotafuna pesa za walipa kodi kama huu mwenge?
Ruzuku hazitafuni pesa za walipa Kodi?

Kwanza meenge binafsi huwa naona unaendeshwa kwa michango tu ya kuomba omba. Kati ya vitu vinavyotafuna pesa za walipa Kofi in siasa ucwara na hapa kila mwanasiasa anahusika.

Muhimu in kufanya maboresho tu, ili ujumbe na shughuli za mwenge zilete tija na siyo moto tu.
 
Hivi kweli huo Mwenge ulishaondolewa au bado upo?
Kama bado upo na wanaohusika kuhakikisha kuwa umeondoka wapo na wakiwa wenye hali ile ile sawa na ile waliyokuwa nayo siku agizo linatolewa; basi kuna watu ambao wana bahati sana nchi hii
 
Back
Top Bottom