Lissu aliahidi atalipa atakapolipwa hela zake za matibabuSasa unamkopesha mgonjwa utegemee malipo kweli? Aseme alijitolea.
Lissu kurudi hapo kupigizana na siasa maji taka hizi ni kwamba kule alikokimbilia kaona kugumu tu.
Na hapo anapigania mgao, maslahi yake.
Hana habari yoyote na chama hicho zidi ya kupigania tumbo tu.
Akipewa chake akiridhika huyo anayeya tena.
Endelea kujiuliza chiembeNi mbinu ya kuzuia asidaiwe? Katika mahojiano yake na chombo cha habari, Wenje amesema kwamba alitoa fedha zake nyingi kumkopesha Lissu wakati anajiuguza, na kwamba hajalipwa mpaka leo.
Najiuliza, Lissu amechagua kundi la watu wanaomdai, awachafue ili kuwapunguza kasi? Kwa nini asilipe madeni tu ili maisha yaendelee?
Na kalipwa hajarudisha,kuna haja kumwamini mtu huyo kumpa uongozi?Lissu aliahidi atalipa atakapolipwa hela zake za matibabu