Je, kesi aliyofungua Tundu Lissu nje ya nchi ndio sababu ya TIGO Tanzania kubadili jina?

Zipo Taarifa za Kampuni ya Tigo Tanzania kubadili jina.

Si kazi nyepesi kubadili jina la Brand kubwa kama Tigo, bila shaka liko jambo kubwa sana lililopelekea uamuzi huu.

Je ile kesi kabambe ambayo Lissu ameifungulia Kampuni hiyo Nje ya Nchi yaweza kuwa Sababu?
Akili kisoda, hii ni Mara ya 4 wanabadili jina. Wewe unafikiri eti Lissu na Chadema ndo mmesababisha. Ushamba unawasumbua.
Mobitel-Buzz-Tigo-Yas.
LISSU hàna influence yoyote na hayo mabadiliko.
 
Nakumbuka mwanzoni walikuwa wanaitwa Mobitel
nadhani pamoja na sababu nyingine za kibiashara, tecknologia na kuinunua Zantel, hali hiyo imechochea mabadiliko hayo makubwa zaidi ya kimkakati na kujibrand upya kutoka kwenye uzamani na kuja kwenye upya katika tasnia ya mawasiliano 🐒
 
Muulizeni Rostam👇
1000016438.jpg
 
Zipo Taarifa za Kampuni ya Tigo Tanzania kubadili jina.

Si kazi nyepesi kubadili jina la Brand kubwa kama Tigo, bila shaka liko jambo kubwa sana lililopelekea uamuzi huu.

Je ile kesi kabambe ambayo Lissu ameifungulia Kampuni hiyo Nje ya Nchi yaweza kuwa Sababu?

Ukikimbia nchale ,ukisimama nchale ,ukikaa nchale...

Hakuna unafuu wala uafadhali kipigo kipo pale pale ,amsterdam lazima awatemeshe ndoano.
 
Zipo Taarifa za Kampuni ya Tigo Tanzania kubadili jina.

Si kazi nyepesi kubadili jina la Brand kubwa kama Tigo, bila shaka liko jambo kubwa sana lililopelekea uamuzi huu.

Je ile kesi kabambe ambayo Lissu ameifungulia Kampuni hiyo Nje ya Nchi yaweza kuwa Sababu?
Kama ungekuwa na uwezo wa kuingia kwenye mitandao mbalimbali ungelijua ya kwamba Tigo Tanzania waliishatoa taarifa ya kubadili jina na mmiliki ZAIDI YA MIAKA MITATU iliyopita.
 
Back
Top Bottom