zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Ukisema Yas tu Mzee kwisha mchezoBora wamebadili maana wahuni wametusumbua mno.
Ukisema tu Tigo unakuwa umezua taharuki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisema Yas tu Mzee kwisha mchezoBora wamebadili maana wahuni wametusumbua mno.
Ukisema tu Tigo unakuwa umezua taharuki.
Nyash tena? Big or small?Nyash el sadotii
Zantel ndio wamo humo humo kwenye Tigo iliyobadilishwa Jina 😀Ndio inaelekea kupotea km Zantel km utani vile yaan
Kwa hio Zantel wamepotelea kwenye Tigo?Zantel ndio wamo humo humo kwenye Tigo iliyobadilishwa Jina 😀
YAS!Zipo Taarifa za Kampuni ya Tigo Tanzania kubadili jina.
Si kazi nyepesi kubadili jina la Brand kubwa kama Tigo, bila shaka liko jambo kubwa sana lililopelekea uamuzi huu.
Je ile kesi kabambe ambayo Lissu ameifungulia Kampuni hiyo Nje ya Nchi yaweza kuwa Sababu?
😁itageuka nyash sasaSipati picha ndugu zangu wamasai, wataishia kusema naomba nyasi
Kitambo sana 😂Kwa hio Zantel wamepotelea kwenye Tigo?
YasJina jipya ni lipi?