Je, kesi aliyofungua Tundu Lissu nje ya nchi ndio sababu ya TIGO Tanzania kubadili jina?

Je, kesi aliyofungua Tundu Lissu nje ya nchi ndio sababu ya TIGO Tanzania kubadili jina?

Zipo Taarifa za Kampuni ya Tigo Tanzania kubadili jina.

Si kazi nyepesi kubadili jina la Brand kubwa kama Tigo, bila shaka liko jambo kubwa sana lililopelekea uamuzi huu.

Je ile kesi kabambe ambayo Lissu ameifungulia Kampuni hiyo Nje ya Nchi yaweza kuwa Sababu?
YAS!
 
Tofautisha brand name (yas) na company name (MILLICOM)
Lisu ana kesi na MILICOM huyu mmiliki wa sasa ameamua kubdilisha jina la brand yake. Hiyo haihusiani na kesi ya Lisu wala
 
Back
Top Bottom