Je, kesi aliyofungua Tundu Lissu nje ya nchi ndio sababu ya TIGO Tanzania kubadili jina?

Akili kisoda, hii ni Mara ya 4 wanabadili jina. Wewe unafikiri eti Lissu na Chadema ndo mmesababisha. Ushamba unawasumbua.
Mobitel-Buzz-Tigo-Yas.
LISSU hΓ na influence yoyote na hayo mabadiliko.
 
Nakumbuka mwanzoni walikuwa wanaitwa Mobitel
nadhani pamoja na sababu nyingine za kibiashara, tecknologia na kuinunua Zantel, hali hiyo imechochea mabadiliko hayo makubwa zaidi ya kimkakati na kujibrand upya kutoka kwenye uzamani na kuja kwenye upya katika tasnia ya mawasiliano πŸ’
 

Ukikimbia nchale ,ukisimama nchale ,ukikaa nchale...

Hakuna unafuu wala uafadhali kipigo kipo pale pale ,amsterdam lazima awatemeshe ndoano.
 
Kama ungekuwa na uwezo wa kuingia kwenye mitandao mbalimbali ungelijua ya kwamba Tigo Tanzania waliishatoa taarifa ya kubadili jina na mmiliki ZAIDI YA MIAKA MITATU iliyopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…