Je, Kibatala ni kumtetea Mbowe tu, Wanachadema wengine wapambane kivyao?

27 March 2022
Helsinki, Finland

UNAIJUA MIAMBA MITATU HII YA SIASA TANZANIA? JULIUS NYERERE, MAALIM SEIF, FREEMAN MBOWE. UNA MAONI GANI?


Hii ni tafakuri juu ya wanasiasa watatu ambao wameathiri kwa kiasi kikubwa siasa za Tanzania kwa kujenga vyama imara - Mwalimu Julius Nyerere, Maalim Seif Shariff Hamad, na Freeman Mbowe. Nani anasema hayo? Fuatilia uchambuzi huu mfupi.

Source : SK Media Online TV
 
March 26 , 2022

A Smile of the Struggle For Change in East Africa . Robert Kyagulanyi Ssentamu a.k.a Bobi Wine meets Freeman Mbowe in Arusha. What next ?


 
14 January 2022
Rukwa, Tanzania

MKUU WA MKOA WA RUKWA AKAIDI AMRI YA WITO WA MAHAKAMA CHADEMA WAMSHIKA KOO MKUU WA MKOA


T-shirt ya katiba mpya yasababisha kesi mahakamani, RC Joseph Mkirikiti mkuu wa mkoa aliyeamrisha mwanachama wa CHADEMA kurundikwa mahabusu ashindwa kuitikia samasi ya mahakama
 
Kila ofisi ya chama ya kanda ina mawakili kadhaa na ndiyo wanadeal na kesi za maeneo husika.

Umemmis Kibatala ehh???
 
Endeleenu kuteseka,tunachanga na tutaendelea kukichangia Chama chetu pendwa!
 
Unataka Kibatala asimamie awakilishe wateja 400 nchi nzima?

Acha chuki zako binafsi Kwa CDM,ungeeleza kwamba Kuna mwanachama kakosa wakili eneo fulani!
 

Unazungumziaje viongozi wa ccm wanaosema wanawatumikia wananchi, huku wananchi huko vijijini hawana hata maji safi, wakati hao viongozi wa ccm wakiwa na maji safi hadi ya kuflash vinyesi vyooni mwao? Na bado mnataka hao wananchi masikini waendelee kuwaunga mkono ili kuboresha maisha yenu na familia zenu?
 
we unaonaje? umefanana na MWAMBA au
 
WEWE UMEWATETEA wangapi?
 
Kwani mbowe anatumia choo cha maji ya wapi?

Mbona anakomba ruzuku yote bila hata kujenga ofisi ya makao makuu.

Mikutano mnafanyia hoteli za 5star huku ofisi za kata zikiwa zimepigwa kufuli mitaani.
 
Watanzania kwa kuwa tulipewa Uhuru mezani hatuelewi maana ya struggle ...... Hivi unafikiri kule SOWETO walikuwa na Mawakili.

Wewe una lako jambo. Unataka Kamanda afe ili jeshi lisambaratike ....!!
 

..Na CCM kwanini imefuta kesi ya Mbowe badala ya mamia ya kesi za wanachama wa kawaida waliomtangulia Mbowe magereza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…