Je, Kibatala ni kumtetea Mbowe tu, Wanachadema wengine wapambane kivyao?

Je, Kibatala ni kumtetea Mbowe tu, Wanachadema wengine wapambane kivyao?

..kwanini wametolewa mashekhe wa uamsho huku wa answar sunna wakiendelea kuteseka magerezani?
Hizo tofauti zenu wenye Dini yenu.
Sisi tunachoelewa ni masheikh wa kiislamu.
 
Chadema inawenyewe mtu kama Mbowe anapiga pesa vibaya huku akishirikiana na wanufaika wachache kama Kibatala.Kuna wanachama wengi wamebambikiwa kesi na wengine hawana hata wa kuwatetea.Mwenyekiti katoka eti wanamchangia simu na laptop haaa baada ya siku kadhaa anaibukia kwao kanisani anatoa millioni mia.Wajinga ndiyo waliwao.Kiongozi wa kweli ni Lissu tuuu hata kpindi yupo alikuwa anatoa msaada wa kisheria kwa wanachama wengi wa kawaida.
Halafu Mangi kaona shelf Dukani ziko empty.
sasa ametangaza Join the Chain ili Duka lirudi kwenye hali yake.
 
Back
Top Bottom