Je, Kibatala ni kumtetea Mbowe tu, Wanachadema wengine wapambane kivyao?

27 March 2022
Helsinki, Finland

UNAIJUA MIAMBA MITATU HII YA SIASA TANZANIA? JULIUS NYERERE, MAALIM SEIF, FREEMAN MBOWE. UNA MAONI GANI?

Hii ni tafakuri juu ya wanasiasa watatu ambao wameathiri kwa kiasi kikubwa siasa za Tanzania kwa kujenga vyama imara - Mwalimu Julius Nyerere, Maalim Seif Shariff Hamad, na Freeman Mbowe. Nani anasema hayo? Fuatilia uchambuzi huu mfupi.

Source : SK Media Online TV

Mbowe yupo juu sn
 
Tunashukuru umekiri wazi kabisa kuwa mnawabambikizia watu kesi kwa ajili ya itikadi za kisiasa!
Anyway, tutawatetea na Mola atasimama katika haki.
 
Kwani mbowe anatumia choo cha maji ya wapi?

Mbona anakomba ruzuku yote bila hata kujenga ofisi ya makao makuu.

Mikutano mnafanyia hoteli za 5star huku ofisi za kata zikiwa zimepigwa kufuli mitaani.

Mbowe ndio mwenye jukumu la kusambaza maji vijijini? Wazee na majobless ndio wanashinda maofisini kuendekeza Majungu, ushirikina na fitina. Dunia ya sasa ofisi ni mitandao.
 
Jambo all Member's JamiiForums!

Tumeshuhudia rundo la wanasheria wakiungana kumtetea mwenyekiti wa Chadema Mheshimiwa Mbowe na makomandoo wake.
Kwenye kesi aliyofutiwa na DPP hivi karibuni.

Lakini,
Tunaambiwa na uongozi wa Chadema kupitia media mbalimbali kwamba kuna rundo kubwa sana la wanachama wao ambao wanashikiliwa Magerezani kwa tuhuma mbalimbali.

Sasa tunajiuliza swali kubwa moja tu.

Hao mawakili wenu mnaowaita wa Chadema.
Kina Kibatalla na wenzake kwa nini hawajihusishi na kuhakikisha wanawatetea hao wanachama wao wa Chadema.

Ambao wanaendelea kuteseka Magerezani,huku wakiwa wamebaki kuhangaika wao na familia zao tu?

Je mnatufundisha nini wananchi.
Pale mnapowahamasisha wananchi kujitokeza kuwaunga mkono kwenye harakati zenu ikiwemo na maandamano.

Kisha yakiwakuta ya kuwakuta ikiwemo kuumizwa na kubaki vilema,au kukamatwa na kuswekwa Magerezani.

Mnaishia kuwatelekeza wao wapambane na hali zao bila msaada wowote wa kisheria.
Kutoka kwa uongozi wa Chadema,kama tulivyoona mkifanya kwa Mbowe na walinzi wake?

Wakati nyinyi viongozi mkiendelea na "Coctail party [emoji3060]" zenu huko
"Maria Spaces" na
"Club House" usiku.

Kutokea huko ughaibuni Ubelgiji na Canada ambapo wahamasishaji wakubwa Lissu na Lema mnaishi kwa raha zenu.
Na wale mlioko humu nchini mkiendelea kuyatumia hao wahanga kutimiza Projects zenu mnazozita eti "Maridhiano" au "Healing"

Huku mkiendelea kushawishi watoto wa walalahoi wengine wazidi kujitokeza kuwaunga mkono ili kutimiza malengo yenu.

Huku wengine mmewasahau kabisa mfano halisi ni yule mwenyekiti wa chadema mkoa wa Njombe.

Mnawaonaje au kuwachukuliaje hao watanzania?
Mbona unaumia saana??
Kila kitu kwa mipango wanasheria mbona wengi tu wanaitetea CDM na watu wake!?
 
Watanzania kwa kuwa tulipewa Uhuru mezani hatuelewi maana ya struggle ...... Hivi unafikiri kule SOWETO walikuwa na Mawakili.

Wewe una lako jambo. Unataka Kamanda afe ili jeshi lisambaratike ....!!
Njoo kwenye mada kwa nini Chadema hawawatetei wafuasi wao kwenye kesi kubwa walizowasababishia!
 
..Na CCM kwanini imefuta kesi ya Mbowe badala ya mamia ya kesi za wanachama wa kawaida waliomtangulia Mbowe magereza?
Kwa sababu Uongozi wa chadema uliomba hivyo kupitia makamu mwenyekiti wenu.

Kwa sababu Chadema mlimtuma Askofu mkuu Show KKKT na mfuasi wenu maarufu Dk Benson Bagonza na jopo la maaskofu kwenda kumuombea msamaha kwa Raisi.
 
Mbowe ndio mwenye jukumu la kusambaza maji vijijini? Wazee na majobless ndio wanashinda maofisini kuendekeza Majungu, ushirikina na fitina. Dunia ya sasa ofisi ni mitandao.
Lile jimbo la Hai mlilokuwa mmelimiliki kitambo mna lipi la mfano?
 
Jambo all Member's JamiiForums!

Tumeshuhudia rundo la wanasheria wakiungana kumtetea mwenyekiti wa Chadema Mheshimiwa Mbowe na makomandoo wake.
Kwenye kesi aliyofutiwa na DPP hivi karibuni.

Lakini,
Tunaambiwa na uongozi wa Chadema kupitia media mbalimbali kwamba kuna rundo kubwa sana la wanachama wao ambao wanashikiliwa Magerezani kwa tuhuma mbalimbali.

Sasa tunajiuliza swali kubwa moja tu.

Hao mawakili wenu mnaowaita wa Chadema.
Kina Kibatalla na wenzake kwa nini hawajihusishi na kuhakikisha wanawatetea hao wanachama wao wa Chadema.

Ambao wanaendelea kuteseka Magerezani,huku wakiwa wamebaki kuhangaika wao na familia zao tu?

Je mnatufundisha nini wananchi.
Pale mnapowahamasisha wananchi kujitokeza kuwaunga mkono kwenye harakati zenu ikiwemo na maandamano.

Kisha yakiwakuta ya kuwakuta ikiwemo kuumizwa na kubaki vilema,au kukamatwa na kuswekwa Magerezani.

Mnaishia kuwatelekeza wao wapambane na hali zao bila msaada wowote wa kisheria.
Kutoka kwa uongozi wa Chadema,kama tulivyoona mkifanya kwa Mbowe na walinzi wake?

Wakati nyinyi viongozi mkiendelea na "Coctail party [emoji3060]" zenu huko
"Maria Spaces" na
"Club House" usiku.

Kutokea huko ughaibuni Ubelgiji na Canada ambapo wahamasishaji wakubwa Lissu na Lema mnaishi kwa raha zenu.
Na wale mlioko humu nchini mkiendelea kuyatumia hao wahanga kutimiza Projects zenu mnazozita eti "Maridhiano" au "Healing"

Huku mkiendelea kushawishi watoto wa walalahoi wengine wazidi kujitokeza kuwaunga mkono ili kutimiza malengo yenu.

Huku wengine mmewasahau kabisa mfano halisi ni yule mwenyekiti wa chadema mkoa wa Njombe.

Mnawaonaje au kuwachukuliaje hao watanzania?
Unataka walinzi wa Samia waje kulinda na kwako?
 
Hizo kesi zingine wapo mawakili wa CHADEMA wanaendelea kuwatetea kila kona ya nchi. Tatizo ni moja tu hizo tunazoshinda kwa kuwatoa sehemu zingine,hizo kesi haziandikwi ksbb ya udogo wake kwa hiyo nyingi wewe huzisikii
 
Jambo all Member's JamiiForums!

Tumeshuhudia rundo la wanasheria wakiungana kumtetea mwenyekiti wa Chadema Mheshimiwa Mbowe na makomandoo wake.
Kwenye kesi aliyofutiwa na DPP hivi karibuni.

Lakini,
Tunaambiwa na uongozi wa Chadema kupitia media mbalimbali kwamba kuna rundo kubwa sana la wanachama wao ambao wanashikiliwa Magerezani kwa tuhuma mbalimbali.

Sasa tunajiuliza swali kubwa moja tu.

Hao mawakili wenu mnaowaita wa Chadema.
Kina Kibatalla na wenzake kwa nini hawajihusishi na kuhakikisha wanawatetea hao wanachama wao wa Chadema.

Ambao wanaendelea kuteseka Magerezani,huku wakiwa wamebaki kuhangaika wao na familia zao tu?

Je mnatufundisha nini wananchi.
Pale mnapowahamasisha wananchi kujitokeza kuwaunga mkono kwenye harakati zenu ikiwemo na maandamano.

Kisha yakiwakuta ya kuwakuta ikiwemo kuumizwa na kubaki vilema,au kukamatwa na kuswekwa Magerezani.

Mnaishia kuwatelekeza wao wapambane na hali zao bila msaada wowote wa kisheria.
Kutoka kwa uongozi wa Chadema,kama tulivyoona mkifanya kwa Mbowe na walinzi wake?

Wakati nyinyi viongozi mkiendelea na "Coctail party [emoji3060]" zenu huko
"Maria Spaces" na
"Club House" usiku.

Kutokea huko ughaibuni Ubelgiji na Canada ambapo wahamasishaji wakubwa Lissu na Lema mnaishi kwa raha zenu.
Na wale mlioko humu nchini mkiendelea kuyatumia hao wahanga kutimiza Projects zenu mnazozita eti "Maridhiano" au "Healing"

Huku mkiendelea kushawishi watoto wa walalahoi wengine wazidi kujitokeza kuwaunga mkono ili kutimiza malengo yenu.

Huku wengine mmewasahau kabisa mfano
alisi ni yule mwenyekiti wa my

Kwa nini Zaman nyumbani pakichinjwa kuku ambaye Ana mapaja mawili tu, huwa Anakula Baba? Ukiolewa hili, utaelewa.

Imagine kuna wana chadema 2000 Tanzania wana kesi, na Hawa top lawyers wana maisha yao, na huwa wanajiyolea, wewe unategemea watafanya nini?
 
Lile jimbo la Hai mlilokuwa mmelimiliki kitambo mna lipi la mfano?

Huko hai hamna shida ndogondogo, watu wanajimudu wenyewe bila mbeleko ya serikali. Halafu nani alikwambia maendeleo yanaletwa na mbunge? Kama maendeleo yanaletwa na mbunge, kuna majimbo nchi hii hayajawahi kuwa chini ya upinzani na yana umasikini wa kutisha.
 
Chadema inawenyewe mtu kama Mbowe anapiga pesa vibaya huku akishirikiana na wanufaika wachache kama Kibatala.Kuna wanachama wengi wamebambikiwa kesi na wengine hawana hata wa kuwatetea.Mwenyekiti katoka eti wanamchangia simu na laptop haaa baada ya siku kadhaa anaibukia kwao kanisani anatoa millioni mia.Wajinga ndiyo waliwao.Kiongozi wa kweli ni Lissu tuuu hata kpindi yupo alikuwa anatoa msaada wa kisheria kwa wanachama wengi wa kawaida.
 
Kwa sababu Uongozi wa chadema uliomba hivyo kupitia makamu mwenyekiti wenu.

Kwa sababu Chadema mlimtuma Askofu mkuu Show KKKT na mfuasi wenu maarufu Dk Benson Bagonza na jopo la maaskofu kwenda kumuombea msamaha kwa Raisi.
..kwanini wametolewa mashekhe wa uamsho huku wa answar sunna wakiendelea kuteseka magerezani?
 
Back
Top Bottom