Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mbowe yupo juu sn27 March 2022
Helsinki, Finland
UNAIJUA MIAMBA MITATU HII YA SIASA TANZANIA? JULIUS NYERERE, MAALIM SEIF, FREEMAN MBOWE. UNA MAONI GANI?
Hii ni tafakuri juu ya wanasiasa watatu ambao wameathiri kwa kiasi kikubwa siasa za Tanzania kwa kujenga vyama imara - Mwalimu Julius Nyerere, Maalim Seif Shariff Hamad, na Freeman Mbowe. Nani anasema hayo? Fuatilia uchambuzi huu mfupi.
Source : SK Media Online TV
Point snWatanzania kwa kuwa tulipewa Uhuru mezani hatuelewi maana ya struggle ...... Hivi unafikiri kule SOWETO walikuwa na Mawakili.
Wewe una lako jambo. Unataka Kamanda afe ili jeshi lisambaratike ....!!
Wanawapa🏃CCM wawape kesi ili Kibatala aende kuwatetea?
kwani we unamjua MWAMBA yupi zaidi ya huyuMwamba ni nani?
Na ni mwamba wa nini?
Nani alimtawaza huo umwamba wake?
Acheni ujuha wa mahaba.
OkWanawapa🏃
Kwani mbowe anatumia choo cha maji ya wapi?
Mbona anakomba ruzuku yote bila hata kujenga ofisi ya makao makuu.
Mikutano mnafanyia hoteli za 5star huku ofisi za kata zikiwa zimepigwa kufuli mitaani.
Mbona unaumia saana??Jambo all Member's JamiiForums!
Tumeshuhudia rundo la wanasheria wakiungana kumtetea mwenyekiti wa Chadema Mheshimiwa Mbowe na makomandoo wake.
Kwenye kesi aliyofutiwa na DPP hivi karibuni.
Lakini,
Tunaambiwa na uongozi wa Chadema kupitia media mbalimbali kwamba kuna rundo kubwa sana la wanachama wao ambao wanashikiliwa Magerezani kwa tuhuma mbalimbali.
Sasa tunajiuliza swali kubwa moja tu.
Hao mawakili wenu mnaowaita wa Chadema.
Kina Kibatalla na wenzake kwa nini hawajihusishi na kuhakikisha wanawatetea hao wanachama wao wa Chadema.
Ambao wanaendelea kuteseka Magerezani,huku wakiwa wamebaki kuhangaika wao na familia zao tu?
Je mnatufundisha nini wananchi.
Pale mnapowahamasisha wananchi kujitokeza kuwaunga mkono kwenye harakati zenu ikiwemo na maandamano.
Kisha yakiwakuta ya kuwakuta ikiwemo kuumizwa na kubaki vilema,au kukamatwa na kuswekwa Magerezani.
Mnaishia kuwatelekeza wao wapambane na hali zao bila msaada wowote wa kisheria.
Kutoka kwa uongozi wa Chadema,kama tulivyoona mkifanya kwa Mbowe na walinzi wake?
Wakati nyinyi viongozi mkiendelea na "Coctail party [emoji3060]" zenu huko
"Maria Spaces" na
"Club House" usiku.
Kutokea huko ughaibuni Ubelgiji na Canada ambapo wahamasishaji wakubwa Lissu na Lema mnaishi kwa raha zenu.
Na wale mlioko humu nchini mkiendelea kuyatumia hao wahanga kutimiza Projects zenu mnazozita eti "Maridhiano" au "Healing"
Huku mkiendelea kushawishi watoto wa walalahoi wengine wazidi kujitokeza kuwaunga mkono ili kutimiza malengo yenu.
Huku wengine mmewasahau kabisa mfano halisi ni yule mwenyekiti wa chadema mkoa wa Njombe.
Mnawaonaje au kuwachukuliaje hao watanzania?
Njoo kwenye mada kwa nini Chadema hawawatetei wafuasi wao kwenye kesi kubwa walizowasababishia!Watanzania kwa kuwa tulipewa Uhuru mezani hatuelewi maana ya struggle ...... Hivi unafikiri kule SOWETO walikuwa na Mawakili.
Wewe una lako jambo. Unataka Kamanda afe ili jeshi lisambaratike ....!!
Kwa sababu Uongozi wa chadema uliomba hivyo kupitia makamu mwenyekiti wenu...Na CCM kwanini imefuta kesi ya Mbowe badala ya mamia ya kesi za wanachama wa kawaida waliomtangulia Mbowe magereza?
Lile jimbo la Hai mlilokuwa mmelimiliki kitambo mna lipi la mfano?Mbowe ndio mwenye jukumu la kusambaza maji vijijini? Wazee na majobless ndio wanashinda maofisini kuendekeza Majungu, ushirikina na fitina. Dunia ya sasa ofisi ni mitandao.
Unataka walinzi wa Samia waje kulinda na kwako?Jambo all Member's JamiiForums!
Tumeshuhudia rundo la wanasheria wakiungana kumtetea mwenyekiti wa Chadema Mheshimiwa Mbowe na makomandoo wake.
Kwenye kesi aliyofutiwa na DPP hivi karibuni.
Lakini,
Tunaambiwa na uongozi wa Chadema kupitia media mbalimbali kwamba kuna rundo kubwa sana la wanachama wao ambao wanashikiliwa Magerezani kwa tuhuma mbalimbali.
Sasa tunajiuliza swali kubwa moja tu.
Hao mawakili wenu mnaowaita wa Chadema.
Kina Kibatalla na wenzake kwa nini hawajihusishi na kuhakikisha wanawatetea hao wanachama wao wa Chadema.
Ambao wanaendelea kuteseka Magerezani,huku wakiwa wamebaki kuhangaika wao na familia zao tu?
Je mnatufundisha nini wananchi.
Pale mnapowahamasisha wananchi kujitokeza kuwaunga mkono kwenye harakati zenu ikiwemo na maandamano.
Kisha yakiwakuta ya kuwakuta ikiwemo kuumizwa na kubaki vilema,au kukamatwa na kuswekwa Magerezani.
Mnaishia kuwatelekeza wao wapambane na hali zao bila msaada wowote wa kisheria.
Kutoka kwa uongozi wa Chadema,kama tulivyoona mkifanya kwa Mbowe na walinzi wake?
Wakati nyinyi viongozi mkiendelea na "Coctail party [emoji3060]" zenu huko
"Maria Spaces" na
"Club House" usiku.
Kutokea huko ughaibuni Ubelgiji na Canada ambapo wahamasishaji wakubwa Lissu na Lema mnaishi kwa raha zenu.
Na wale mlioko humu nchini mkiendelea kuyatumia hao wahanga kutimiza Projects zenu mnazozita eti "Maridhiano" au "Healing"
Huku mkiendelea kushawishi watoto wa walalahoi wengine wazidi kujitokeza kuwaunga mkono ili kutimiza malengo yenu.
Huku wengine mmewasahau kabisa mfano halisi ni yule mwenyekiti wa chadema mkoa wa Njombe.
Mnawaonaje au kuwachukuliaje hao watanzania?
Jambo all Member's JamiiForums!
Tumeshuhudia rundo la wanasheria wakiungana kumtetea mwenyekiti wa Chadema Mheshimiwa Mbowe na makomandoo wake.
Kwenye kesi aliyofutiwa na DPP hivi karibuni.
Lakini,
Tunaambiwa na uongozi wa Chadema kupitia media mbalimbali kwamba kuna rundo kubwa sana la wanachama wao ambao wanashikiliwa Magerezani kwa tuhuma mbalimbali.
Sasa tunajiuliza swali kubwa moja tu.
Hao mawakili wenu mnaowaita wa Chadema.
Kina Kibatalla na wenzake kwa nini hawajihusishi na kuhakikisha wanawatetea hao wanachama wao wa Chadema.
Ambao wanaendelea kuteseka Magerezani,huku wakiwa wamebaki kuhangaika wao na familia zao tu?
Je mnatufundisha nini wananchi.
Pale mnapowahamasisha wananchi kujitokeza kuwaunga mkono kwenye harakati zenu ikiwemo na maandamano.
Kisha yakiwakuta ya kuwakuta ikiwemo kuumizwa na kubaki vilema,au kukamatwa na kuswekwa Magerezani.
Mnaishia kuwatelekeza wao wapambane na hali zao bila msaada wowote wa kisheria.
Kutoka kwa uongozi wa Chadema,kama tulivyoona mkifanya kwa Mbowe na walinzi wake?
Wakati nyinyi viongozi mkiendelea na "Coctail party [emoji3060]" zenu huko
"Maria Spaces" na
"Club House" usiku.
Kutokea huko ughaibuni Ubelgiji na Canada ambapo wahamasishaji wakubwa Lissu na Lema mnaishi kwa raha zenu.
Na wale mlioko humu nchini mkiendelea kuyatumia hao wahanga kutimiza Projects zenu mnazozita eti "Maridhiano" au "Healing"
Huku mkiendelea kushawishi watoto wa walalahoi wengine wazidi kujitokeza kuwaunga mkono ili kutimiza malengo yenu.
Huku wengine mmewasahau kabisa mfano
alisi ni yule mwenyekiti wa my
Lile jimbo la Hai mlilokuwa mmelimiliki kitambo mna lipi la mfano?
Bashite huyo haishiwi visa, utamuweza basi.Nyie wakina nani "mnajiuliza"?
..kwanini wametolewa mashekhe wa uamsho huku wa answar sunna wakiendelea kuteseka magerezani?Kwa sababu Uongozi wa chadema uliomba hivyo kupitia makamu mwenyekiti wenu.
Kwa sababu Chadema mlimtuma Askofu mkuu Show KKKT na mfuasi wenu maarufu Dk Benson Bagonza na jopo la maaskofu kwenda kumuombea msamaha kwa Raisi.