Chadema inawenyewe mtu kama Mbowe anapiga pesa vibaya huku akishirikiana na wanufaika wachache kama Kibatala.Kuna wanachama wengi wamebambikiwa kesi na wengine hawana hata wa kuwatetea.Mwenyekiti katoka eti wanamchangia simu na laptop haaa baada ya siku kadhaa anaibukia kwao kanisani anatoa millioni mia.Wajinga ndiyo waliwao.Kiongozi wa kweli ni Lissu tuuu hata kpindi yupo alikuwa anatoa msaada wa kisheria kwa wanachama wengi wa kawaida.