Je kifo cha 'Jasusi mbobezi' kimeondoka na kichwa leo?

Huyo mshika mikasi utu uzima umeingia na afya yake haiko vizuri kabla hata jiwe hajaondoka. Si ajabu yeye kuomba kupumzika au si ajabu kuonekana hawezi kutekeleza majukumu yake ipasavyo.

Yaani unataka kuniambia kuwa Wassira awe fit na miaka yake 80 ila mla migebuka achoke wakati hana hata miaka 70?
 
Jasusi jasusi...! Ni membe bwana.
 
Hivi ikitokea Samia ame rest in peace kesho au keshokutwa, Dr Philip Mpango si ndiye atakuwa Rais..?

Huyu Nchimbi atakuwa nani..?

Mbona CCM na Samia wanafanya maamuzi ambayo ni very premature..?

Kama anaendelea kuwa VP mpaka baada ya uchaguzi, kulikuwa na sababu gani ya kimantiki kutangaza barua yake ya kujiuzuru wakati wameshajadiliana naye akakukubali kuendelea kuhitimisha awamu hii..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…