snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,523
- 2,165
Ni mjadala wa muda mrefu sana huu ambao unahusisha vifurushi tunavyonunua kuisha muda wake.
sasa swali ni je mfano ukanunua MB 1000 kwa sh 2000/= na ukatumia MB 200 kifurushi kika expire huwa hizo MB 800 zinaenda wapi?
Na ikatokea mteja mwingine akanunua kifurushi cha MB 500 kwa sh 1000/= je huwa hapewi MB500 kutoka kwenye MB zako 800?
Na je hata kama imeshindikana vifurushi kuto expire kwanini usilipwe commission kutoka kwenye MB zako zilizoisha muda wake na kuuziwa mtu mwingine?
Je ni wizi?
Je ni kinyume na sheria?
Je ni ukandamizaji ?
Je ISP wanachezea MB?
Je tunaponunua vifurushi tunanunua access tu?
Je ISP wanatulazimisha tutumie vifurushi hata kwa mambo ya sio ya msingi ili tu kumaliza kabla ya muda?