Je, kiitifaki Waziri mkuu wa Tanzania ni mkuu kuliko Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar?

Kwahiyo waziri kiongozi alikuwa chini ya Waziri mkuu?
 
Hahaha Iddi Seif ni mkubwa sana kwa umri hata umbo, na ndio maana stroke ilimuanza yeye, kisha atakayefuata kupigwa stroke ndiye anayemfuatia kwa ukubwa.
Seif Iddi > Majaliwa
Magufuli> Shein.
 
Zanzibar ni sehemu ya Tanzania/Zanzibar ni subset ya Tanzania

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ni mtoto kwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT)

Then usitarajie viongozi wa Muungano wakawa wadogo/chini ya viongozi wa Zanzibar
Hata Mzanzibari Mama Samia Makamo wa Raisi ni mkubwa kwa Raisi wa Zanzibar
 
Kwahiyo waziri kiongozi alikuwa chini ya Waziri mkuu?
Ndiyo
Shamsi Vuai Nahodha Ndiyo Alikuwa Wa Mwisho Kutumia Cheo Cha Waziri Kiongozi
Baadaye Ndiyo Kikawekwa Hicho Cha Makamu Wa Kwa Kwanza Wa Rais, Makamu Wa Pili Wa Rais
Iwapo Nimekosea Wengine Watanisahihisha
 
Hahaha Iddi Seif ni mkubwa sana kwa umri hata umbo, na ndio maana stroke ilimuanza yeye, kisha atakayefuata kupigwa stroke ndiye anayemfuatia kwa ukubwa.
Seif Iddi > Majaliwa
Magufuli> Shein.
Kuna tofauti kati ya mkuu na mkubwa bwashee!
 
Kwa mujibu wa katiba ipi?!
Vyeo Hivyo Viliwekwa Kutafuta Nafuu Siyo Kikatiba
Kumbuka Zanzibar Ilikuwa Cuf Wao Wanasema Wameshinda Uchaguzi Mkuu, Na Ccm Wanasema Wameshinda

Ikawa Kuweka Mambo Sawa Ndiyo Hivyo Vyeo
 
Nchi yenyewe takataka tu, ilishakwama. Haijulikani kipi ni kipi, tunaenda wapi, tunaendaje.

Ni Ilimradi Kumekucha Tu
 
Hivyo mnakubaliana na mm Sheni ni Mkubwa kuliko JPM? Coz Shen aliingia mwisho akatoka mwanzo hhhhh mjumbe wa baraza la Mawazir anajeuri eeeeee??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi, pia Zanzibar ni mkoa tu na Rais wake ni sawa tu na Mskonda haha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iko wapi nafasi ya makamu wa Rais
 
Umejionea mwenyewe halafu unauliza
Ndio makamu wa pili ni mtu mdogo kiitifaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…