Je, kiitifaki Waziri mkuu wa Tanzania ni mkuu kuliko Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar?

Je, kiitifaki Waziri mkuu wa Tanzania ni mkuu kuliko Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar?

Lazima Mjue Zanzibar Nafasi Ya Makamu Wa Pili Haikuwepo Hapo Kabla Isipokuwa Iliwekwa Kwenye Masuala Ya Usuruhishi. Yaani Hapo Zamani Alijulikana Kama Waziri Kiongozi.

Ulipotokea Mgogoro Wa Maalim Seif Ndiyo Hiyo Nafasi Ikawekwa Kuondoa Ukakasi Kwenye Utawala
Hadi Hapo Naamini Utakuwa Umeelewa Suala La Ukubwa Wa Nafasi Kiitifaki
Kwahiyo waziri kiongozi alikuwa chini ya Waziri mkuu?
 
Hahaha Iddi Seif ni mkubwa sana kwa umri hata umbo, na ndio maana stroke ilimuanza yeye, kisha atakayefuata kupigwa stroke ndiye anayemfuatia kwa ukubwa.
Seif Iddi > Majaliwa
Magufuli> Shein.
 
Zanzibar ni sehemu ya Tanzania/Zanzibar ni subset ya Tanzania

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) ni mtoto kwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT)

Then usitarajie viongozi wa Muungano wakawa wadogo/chini ya viongozi wa Zanzibar
Hata Mzanzibari Mama Samia Makamo wa Raisi ni mkubwa kwa Raisi wa Zanzibar
 
Kwahiyo waziri kiongozi alikuwa chini ya Waziri mkuu?
Ndiyo
Shamsi Vuai Nahodha Ndiyo Alikuwa Wa Mwisho Kutumia Cheo Cha Waziri Kiongozi
Baadaye Ndiyo Kikawekwa Hicho Cha Makamu Wa Kwa Kwanza Wa Rais, Makamu Wa Pili Wa Rais
Iwapo Nimekosea Wengine Watanisahihisha
 
Hahaha Iddi Seif ni mkubwa sana kwa umri hata umbo, na ndio maana stroke ilimuanza yeye, kisha atakayefuata kupigwa stroke ndiye anayemfuatia kwa ukubwa.
Seif Iddi > Majaliwa
Magufuli> Shein.
Kuna tofauti kati ya mkuu na mkubwa bwashee!
 
Kwa mujibu wa katiba ipi?!
Vyeo Hivyo Viliwekwa Kutafuta Nafuu Siyo Kikatiba
Kumbuka Zanzibar Ilikuwa Cuf Wao Wanasema Wameshinda Uchaguzi Mkuu, Na Ccm Wanasema Wameshinda

Ikawa Kuweka Mambo Sawa Ndiyo Hivyo Vyeo
 
Ukitaka swali lako liwe tamu unatakiwa ujue kuwa Rais wa Zanzibar ni mjumbe ktk baraza la waziri la Tanzania,na makamu wake sio mjumbe ila waziri mkuu ni mjumbe,mpaka hapo utakuwa umeelewa kiitifaki kuwa Waziri mkuu ni mkubwa kuliko makamu wa rais wa zanzibar.Wajuzi wanirekebishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo mnakubaliana na mm Sheni ni Mkubwa kuliko JPM? Coz Shen aliingia mwisho akatoka mwanzo hhhhh mjumbe wa baraza la Mawazir anajeuri eeeeee??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi, pia Zanzibar ni mkoa tu na Rais wake ni sawa tu na Mskonda haha
Ukitaka swali lako liwe tamu unatakiwa ujue kuwa Rais wa Zanzibar ni mjumbe ktk baraza la waziri la Tanzania,na makamu wake sio mjumbe ila waziri mkuu ni mjumbe,mpaka hapo utakuwa umeelewa kiitifaki kuwa Waziri mkuu ni mkubwa kuliko makamu wa rais wa zanzibar.Wajuzi wanirekebishe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yeah kiitifaki makamu wa pili wa raisi wa zanzibar ni wa 6 kiukubwa.....uwe unatazama hata magari ya escort yale yanayobeba walinzi...raisi wa JMT ni E 1 (escort 1) makamu wa rais JMT ni E 2, raisi wa zanzibar ni E3, waziri Mkuu ni E 4, makamu wa kwanza wa rais zanzibar ni E 5 ambapo saivi hayupo, makamu wa pili wa raisi zanzibar ni E 6........hio nimeku elewesha kwa itifaki ya code za kiulinzi wa viongozi wa kitaifa yule ambae escort yake ni 1 means ndio mkubwa hivohivo no zinavyoshuka ndivo huonesha seniority

Sent using Jamii Forums mobile app
Iko wapi nafasi ya makamu wa Rais
 
Umejionea mwenyewe halafu unauliza
Ndio makamu wa pili ni mtu mdogo kiitifaki
 
Back
Top Bottom