yeah kiitifaki makamu wa pili wa raisi wa zanzibar ni wa 6 kiukubwa.....uwe unatazama hata magari ya escort yale yanayobeba walinzi...raisi wa JMT ni E 1 (escort 1) makamu wa rais JMT ni E 2, raisi wa zanzibar ni E3, waziri Mkuu ni E 4, makamu wa kwanza wa rais zanzibar ni E 5 ambapo saivi hayupo, makamu wa pili wa raisi zanzibar ni E 6........hio nimeku elewesha kwa itifaki ya code za kiulinzi wa viongozi wa kitaifa yule ambae escort yake ni 1 means ndio mkubwa hivohivo no zinavyoshuka ndivo huonesha seniority
Sent using
Jamii Forums mobile app