Je, kila kinachofanyika "kinalenga kufuta Legacy" ya Magufuli?

Legacy ya Magufuli haiwezi kufutika kisengekisenge kwa mawazo ya wasenge wachache.Itafutika kwa kufanya zaidi ya yale aliyokuwa anatekeleza.Sasa hivi maofisini imerudi tena ile tabia ya kuambiwa njoo kesho kesho kesho,wapumbavu wanasema mama anaupiga mwingi acheni unafiki
 
Wajumbe, swali liko very straight, linajitegemea wala halihitaji kurembwa.

Recently kumekua na juhudi kubwa sana za kutaka kuuaminisha umma kuwa Magufuli alikua sahihi sana na hivyo kwa yale ambayo aliyafanya akiwa hai hayapaswi kupingwa, kuachwa, kurekebishwa, kuboreshwa kwakua kwa kufanya hivyo "tutakua" tunafuta kile kinachoitwa "Legacy ya Magufuli".

Yaani Magufuli alikua sahihi, kwa mfano, kujenga ukuta mererani ambao bado haujasaidia kutoroshwa madini, refer statements za week kadhaa, kuchoma vifaranga kutoka Kenya, kuzuia mabinti waliopata mimba kurejea shuleni, kukataza vyama vya siasa kufanya siasa, kuboresha ujenzi wa bwawa la Umeme, kuvaa barakoa na kuchanjwa etc.

Wacha niishie hapa kwanza
Hakuna legacy aliyoiacha
 
Hivi Nyerere hana legacy? Mwinyi je? Mkapa nae? Jk je? Acheni masihara. Legacy pekee ya Magufuli ni WATU WASIOJULIKANA, Azory Gwanda na Ben Saanane, Bashite na kugeuka kituko dunia nzima kwa kuaminisha watu kuwa Korona imeisha.
Legacy nyingine muhimu sana ni Sabaya, Mahela mvuruga uchaguzi.
 
Ukweli ni kwamba kuna mambo yalifanyika kwa kutumia mbinu za kibabe na kila unapowauliza watu kuhusu awamu ile unazidi kuwa pandisha hasira zao. Wema hujisemea wenyewe hauhitaji nguvu nyingi kuelezea.

Watu wana huzuni kwa vifo vilivyotokea bila kutolewa ufafanuzi: Azori Ngwanda, Ben Saanane, Alfred Mawazo, Leijabe na wengine wengi waliopotea. Mazingira kama haya yanafuta mazuri yote aliyofanya mtu. Sababu ni ndogo tu ambayo amezalisha yatima na wajane wengi bila sababu ya msingi.
Jeez!
What about the following:-
Dr. Stephen Ulimboka (survived), Gen. Imran Kombe, Dr. Sengodo Mvungi (Top 3 Africa renowned Constitutional Law Expert), Prof. Jwani Timothy Mwaikusa (A Martyr for Truth and World Top 7 Law Expert), Stan Katabalo, RC Dr. Wilbert Kleruu (a Nawab of Nyerere was shot on Christmas day 1971), RPC Liberatus Barlow, Sokoine (Dumisan Dube aliwezaje kuingilia msafara wa Waziri Mkuu?) na Mahabusu waliokufa Shinyanga waliosababisha Waziri kujiuzulu, wao damu zao ni za kunguni (siyo za binadamu) kwamba haziwezi kufuta legacy! Kila zama na mambo yake, #Hakuna-zama-ni-malaika-mbele-za-MUNGU.
 
Hivi kuna legacy gani mnayo ilazimisha sana kila kukicha?
Bab Marley anaimba rege. Anatumia lugha ya picha na fasihi ya hali ya juu sana. Yapaswa use unaweza kupambanua haswa ili ujue anaimba nn?
Leo mizuki wake ukipigwa popote pale watu wana upenda na kukubali wengine bila hata kujua anachoimba.... legacy.
Ile ndo LEGACY sasa.
Siyo kulazimisha LEGACY kwa mtu aliyeua watu KISA walimpinga.
MAGUFULI HANA LEGACY YYOTE
 
Hivi Nyerere hana legacy? Mwinyi je? Mkapa nae? Jk je? Acheni masihara. Legacy pekee ya Magufuli ni WATU WASIOJULIKANA, Azory Gwanda na Ben Saanane, Bashite na kugeuka kituko dunia nzima kwa kuaminisha watu kuwa Korona imeisha.

na aliwafipimba sana,wewe ukapoteza uafisa kama bikra yaani kindezi tu.
 
Wajumbe, swali liko very straight, linajitegemea wala halihitaji kurembwa.

Recently kumekua na juhudi kubwa sana za kutaka kuuaminisha umma kuwa Magufuli alikua sahihi sana na hivyo kwa yale ambayo aliyafanya akiwa hai hayapaswi kupingwa, kuachwa, kurekebishwa, kuboreshwa kwakua kwa kufanya hivyo "tutakua" tunafuta kile kinachoitwa "Legacy ya Magufuli".

Yaani Magufuli alikua sahihi, kwa mfano, kujenga ukuta mererani ambao bado haujasaidia kutoroshwa madini, refer statements za week kadhaa, kuchoma vifaranga kutoka Kenya, kuzuia mabinti waliopata mimba kurejea shuleni, kukataza vyama vya siasa kufanya siasa, kuboresha ujenzi wa bwawa la Umeme, kuvaa barakoa na kuchanjwa etc.

Wacha niishie hapa kwanza
Hakuna legacy bali aibu ya nchi kuongozwa na kichaa kwa miaka mitano
 
Legacy ya Magufuli haiwezi kufutika kisengekisenge kwa mawazo ya wasenge wachache.Itafutika kwa kufanya zaidi ya yale aliyokuwa anatekeleza.Sasa hivi maofisini imerudi tena ile tabia ya kuambiwa njoo kesho kesho kesho,wapumbavu wanasema mama anaupiga mwingi acheni unafiki
Mtalazimisha sana hiyo legacy lkn hakuna mtanzania anayeijua wala kuitambua hiyo kitu.

Nyinyi chawa wake ndiyo mnalazimisha tu na kuendelea kuabudu sanamu
 
Hivi Nyerere hana legacy? Mwinyi je? Mkapa nae? Jk je? Acheni masihara. Legacy pekee ya Magufuli ni WATU WASIOJULIKANA, Azory Gwanda na Ben Saanane, Bashite na kugeuka kituko dunia nzima kwa kuaminisha watu kuwa Korona imeisha.
Kama hana legacy mbona unatumia mda wako kupingana nayo? Unapinga kitu kisichokuwapo?
 
Wajumbe, swali liko very straight, linajitegemea wala halihitaji kurembwa.

Recently kumekua na juhudi kubwa sana za kutaka kuuaminisha umma kuwa Magufuli alikua sahihi sana na hivyo kwa yale ambayo aliyafanya akiwa hai hayapaswi kupingwa, kuachwa, kurekebishwa, kuboreshwa kwakua kwa kufanya hivyo "tutakua" tunafuta kile kinachoitwa "Legacy ya Magufuli".

Yaani Magufuli alikua sahihi, kwa mfano, kujenga ukuta mererani ambao bado haujasaidia kutoroshwa madini, refer statements za week kadhaa, kuchoma vifaranga kutoka Kenya, kuzuia mabinti waliopata mimba kurejea shuleni, kukataza vyama vya siasa kufanya siasa, kuboresha ujenzi wa bwawa la Umeme, kuvaa barakoa na kuchanjwa etc.

Wacha niishie hapa kwanza
"Kila mtanzania mwenye akili timamu lazima ampinge huyu....uchwara!" Alisikika muungwana mmoja akisema barazani.
 
Mtalazimisha sana hiyo legacy lkn hakuna mtanzania anayeijua wala kuitambua hiyo kitu.

Nyinyi chawa wake ndiyo mnalazimisha tu na kuendelea kuabudu sanamu

kasimamishe hipsi zako jukwaani anza kusiliba jina la jpm,uone kama hujashushwa huku unapigwa madole.
 
Back
Top Bottom