King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Legasi ya ufashisti na unduli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama umezoea kujitia vidole hiyo ni pigo kwakomnavyohangaika [emoji16][emoji16]
legacy yenyewe imekaa inawatizama kama kioo,mtajitia vidole mnuse mjikatae.
Kama umezoea kujitia vidole hiyo ni pigo kwako
Kaacha uzao wake ambaye ni weye!Mkwapuaji tayari yupo jehanamu
Anarusha maneno kisa tu sikumuokoa na kipigo cha wananchi wenye hasira!Kwani na huyo "bwana mukubwa" amegusa virusi vya corona?Aote jua huku kaelekeza kipara upande lipigapo jua atapata afua![emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Aliyekupatia jero ya bundle ndiye katuletea msiba hapa jamviniKaacha uzao wake ambaye ni weye!
Wazazi wako masikini wanajuta kukupata maana afadhali wangetumia nguvu hizo kulima mpunga kisemvuleAnarusha maneno kisa tu sikumuokoa na kipigo cha wananchi wenye hasira!
Napenyezewa eti unatumia michoro ya gazeti la sani kupitia ndumilakuwili jinsi ya kukwapua!
Ulikimbia na pochi nasikia.Si mtu mwema weye!Anarusha maneno kisa tu sikumuokoa na kipigo cha wananchi wenye hasira!
Umevurugwa wewe sasa hilo pop umevunjika shingo au maana limezunguusha kichwa kizima!Wazazi wako masikini wanajuta kukupata maana afadhali wangetumia nguvu hizo kulima mpunga kisemvule
Sikulaumu wewe kwa usumbufu huu bali namlaumu aliye kupa hilo jero la bundleUmevurugwa wewe sasa hilo pop umevunjika shingo au maana limezunguusha kichwa kizima!
[emoji2][emoji2][emoji2]Sikulaumu wewe kwa usumbufu huu bali namlaumu aliye kupa hilo jero la bundle
Pumbaff[emoji2][emoji2][emoji2]
Kunywa maji!Pumbaff
Well saidMkuu una haki ya kumponda hayati Magufuli,kwa miaka nenda rudi tumeshuhudia hakuna mtawala wala kiongozi ameshawahi kupendwa na watu wote kuna watu watamuona shujaa wao,huyo huyo kuna watakaomuona gaidi au jambazi,mtu ka Xi Jiping rais wa china pamoja na kufanya yote china lakini kuna watu wengi tu wanamchukulia kama mkandamizaji wa demokrasia,Vladimir Putin pamoja na effort zake zote nae hajawahi kosa tuhuma nyingi tu za ukandamizaji wa demokrasia na mauaji ya ajabu kwa wahasimu wake.Che guevera wakati katika dunia anaonekana kama symbol ya mapinduzi ya ukandamizaji kwa wamarekani wanamuona kama alikuwa gaidi.Hyo inakwenda mpaka kwa akina Indira Gandhi,Mwal Nyerere (kumbuka kuna watu hawakumkubali na walijaribu kumpindua sio mara moja).Kwa ufupi hakuna kiongozi aliyekuwa mzuri kwa watu wote lazima kuna kundi liliumia katika utawala wake.Saddam Hussein alifanya mengi Iraq lakini uadui wake na wakurd ulipelekea anguko lake so kila mtu atamuenzi kivyake.Yesu mwenyewe hakukubaliwa na wote na ndo maana hata baada ya kifo chake kuna watu palepale hawakukubali kama alifufuka bali wanafunzi wake walimuiba.Mtume mwenyewe hakukubaliwa na kila mtu ndo maana alipigana vita nyingi kuueneza uislam.Namalizia kwa kusema usiwabeze wanaoyashuhudia na kuyasifia mazuri ya Magufuli sababu wao sio vipofu au vichaa wameona kwa macho na akili zao,hvyohvyo hatutawabeza wanaokashfu Magufuli sababu nao wana machungu yao.
Ni wazi kwamba kundi fulani ndani ya CCM,pamoja na baadhi ya maswahiba wao kutoka Upinzani.
Linapambana usiku na mchana ili kuhakikisha linaichafua au kuiondoa kabisa legacy ya Marehemu JPM.
Kwa malengo yao binafsi wayajuayo wao wenyewe.
Mojawapo ya sehemu wanayoitumia kwa sasa ni ununuzi wa ndege na ufufuaji wa ATCL.uliofanywa na Hayati John Joseph Pombe Magufuli.
Wanasema zinaingiza hasara kubwa kwa taifa.
Wanasahau kwamba baada ya ujio wa Covid19 Duniani,sekta ya usafiri wa Anga iliyumba kote Duniani.
Baadhi ya mashirika makubwa Duniani pia yamekufa au kusimamisha shughuli zake kwa muda sasa.
Mfano mmoja tu ni hapo Afrika kusini na South African Airways.
Kama wanabisha na waje hapa watutajie nchi moja au shirika moja tu la ndege Duniani linalojiendesha kwa faida na halikuyumba tangia hapo.
Lakini cha kushangaza....
Baadhi ya hao hao wapondaji wanapoponda hayo manunuzi.
Baadae tunawaona wakitumia na kufurahia helikopta,ambazo zilinunuliwa sambamba na ndege za JPM za ATCL.
Kwa kukagua Ujazo wa maji kwenye mito wakati wa ukame nchini.
Baadhi ya hao hao wapondaji tunawaona wakitumia Helikopta hizo kuzungukia nchi nzima kukagua Uandikishwaji wa anuani za makazi ya kudumu nchini.
Sasa labda tuwakumbushe kama wamesahau au hawafahamu.
magufuli alikuwa na vision ya kujenga nchi ya kiafrika inayojiamini na pia kujisimamia.
Hivyo alikuwa akiziimarisha Sekta zote Muhimu nchini.
Wakati ananunua ndege za ATCL,pia ndio wakati aliagiza na kununua Helikopta zaidi ya kumi kwa matumizi ya kijeshi kwa JWTZ.
Naambatanisha hii nukuu kutoka,
the Citizen.co.tz
"Tanzania last year received three Aibus A-350 helicopters from an order of 10 it had made in 2017.
Dar had ordered eight AS-350/AS-550 Fenec light helicopters and two AS-532 Cougar/AS 332 transport helicopters from Romania [emoji1205] "
Na ndio hizo mnazozitumia sasa hivi kwa majigambo bila hata aibu.
Kusuasua kwa ATCL kunachangiwa pamoja na Janga la Korona lililopelekea usafiri wa anga kufungwa Duniani kote.
Kwa kipindi ambacho ndio jitihada za kuanzisha route zake kubwa na zenye faida kimataifa,zilikuwa zimeanza.
Lakini kwa sasa tunajua wamerudi walewale ambao walituletea Fast Jet.
Tutarajie kuona na kusikia mengi.
commonmwananchi
10101.
Yamkini Mwenda zake alijaribu kuimarisha secta ya usafiri wa anga.Ni wazi kwamba kundi fulani ndani ya CCM,pamoja na baadhi ya maswahiba wao kutoka Upinzani.
Linapambana usiku na mchana ili kuhakikisha linaichafua au kuiondoa kabisa legacy ya Marehemu JPM.
Kwa malengo yao binafsi wayajuayo wao wenyewe.
Mojawapo ya sehemu wanayoitumia kwa sasa ni ununuzi wa ndege na ufufuaji wa ATCL.uliofanywa na Hayati John Joseph Pombe Magufuli.
Wanasema zinaingiza hasara kubwa kwa taifa.
Wanasahau kwamba baada ya ujio wa Covid19 Duniani,sekta ya usafiri wa Anga iliyumba kote Duniani.
Baadhi ya mashirika makubwa Duniani pia yamekufa au kusimamisha shughuli zake kwa muda sasa.
Mfano mmoja tu ni hapo Afrika kusini na South African Airways.
Kama wanabisha na waje hapa watutajie nchi moja au shirika moja tu la ndege Duniani linalojiendesha kwa faida na halikuyumba tangia hapo.
Lakini cha kushangaza....
Baadhi ya hao hao wapondaji wanapoponda hayo manunuzi.
Baadae tunawaona wakitumia na kufurahia helikopta,ambazo zilinunuliwa sambamba na ndege za JPM za ATCL.
Kwa kukagua Ujazo wa maji kwenye mito wakati wa ukame nchini.
Baadhi ya hao hao wapondaji tunawaona wakitumia Helikopta hizo kuzungukia nchi nzima kukagua Uandikishwaji wa anuani za makazi ya kudumu nchini.
Sasa labda tuwakumbushe kama wamesahau au hawafahamu.
magufuli alikuwa na vision ya kujenga nchi ya kiafrika inayojiamini na pia kujisimamia.
Hivyo alikuwa akiziimarisha Sekta zote Muhimu nchini.
Wakati ananunua ndege za ATCL,pia ndio wakati aliagiza na kununua Helikopta zaidi ya kumi kwa matumizi ya kijeshi kwa JWTZ.
Hii taarifa kwa mujibu wa the Citizen.co.tz
"Tanzania last year received three Aibus A-350 helicopters from an order of 10 it had made in 2017.
Dar had ordered eight AS-350/AS-550 Fenec light helicopters and two AS-532 Cougar/AS 332 transport helicopters from Romania [emoji1205] "
Mwisho wa nukuu.