Je, kila kinachofanyika "kinalenga kufuta Legacy" ya Magufuli?

Mkuu una haki ya kumponda hayati Magufuli,kwa miaka nenda rudi tumeshuhudia hakuna mtawala wala kiongozi ameshawahi kupendwa na watu wote kuna watu watamuona shujaa wao,huyo huyo kuna watakaomuona gaidi au jambazi,mtu ka Xi Jiping rais wa china pamoja na kufanya yote china lakini kuna watu wengi tu wanamchukulia kama mkandamizaji wa demokrasia,Vladimir Putin pamoja na effort zake zote nae hajawahi kosa tuhuma nyingi tu za ukandamizaji wa demokrasia na mauaji ya ajabu kwa wahasimu wake.Che guevera wakati katika dunia anaonekana kama symbol ya mapinduzi ya ukandamizaji kwa wamarekani wanamuona kama alikuwa gaidi.Hyo inakwenda mpaka kwa akina Indira Gandhi,Mwal Nyerere (kumbuka kuna watu hawakumkubali na walijaribu kumpindua sio mara moja).Kwa ufupi hakuna kiongozi aliyekuwa mzuri kwa watu wote lazima kuna kundi liliumia katika utawala wake.Saddam Hussein alifanya mengi Iraq lakini uadui wake na wakurd ulipelekea anguko lake so kila mtu atamuenzi kivyake.Yesu mwenyewe hakukubaliwa na wote na ndo maana hata baada ya kifo chake kuna watu palepale hawakukubali kama alifufuka bali wanafunzi wake walimuiba.Mtume mwenyewe hakukubaliwa na kila mtu ndo maana alipigana vita nyingi kuueneza uislam.Namalizia kwa kusema usiwabeze wanaoyashuhudia na kuyasifia mazuri ya Magufuli sababu wao sio vipofu au vichaa wameona kwa macho na akili zao,hvyohvyo hatutawabeza wanaokashfu Magufuli sababu nao wana machungu yao.
Well said
 
Fanyeni kazi kwa bidii,ili uinue kipato chako n'a Nchi kiujumla. Msisahau kudai katiba mpya, japo hata iliyopo sijawahi kuitengea mda kuisoma. Nashukuru wanaoona mbali wanapaza sauti zao na wengine magerezani.
Uzuri Mungu ni fundi

R. I. P. KWA HERUFI KUBWA.
 
Ni wazi kwamba kundi fulani ndani ya CCM,pamoja na baadhi ya maswahiba wao kutoka Upinzani.

Linapambana usiku na mchana ili kuhakikisha linaichafua au kuiondoa kabisa legacy ya Marehemu JPM.
Kwa malengo yao binafsi wayajuayo wao wenyewe.

Mojawapo ya sehemu wanayoitumia kwa sasa ni ununuzi wa ndege na ufufuaji wa ATCL.uliofanywa na Hayati John Joseph Pombe Magufuli.
Wanasema zinaingiza hasara kubwa kwa taifa.

Wanasahau kwamba baada ya ujio wa Covid19 Duniani,sekta ya usafiri wa Anga iliyumba kote Duniani.

Baadhi ya mashirika makubwa Duniani pia yamekufa au kusimamisha shughuli zake kwa muda sasa.
Mfano mmoja tu ni hapo Afrika kusini na South African Airways.

Kama wanabisha na waje hapa watutajie nchi moja au shirika moja tu la ndege Duniani linalojiendesha kwa faida na halikuyumba tangia hapo.

Lakini cha kushangaza....

Baadhi ya hao hao wapondaji wanapoponda hayo manunuzi.

Baadae tunawaona wakitumia na kufurahia helikopta,ambazo zilinunuliwa sambamba na ndege za JPM za ATCL.

Kwa kukagua Ujazo wa maji kwenye mito wakati wa ukame nchini.

Baadhi ya hao hao wapondaji tunawaona wakitumia Helikopta hizo kuzungukia nchi nzima kukagua Uandikishwaji wa anuani za makazi ya kudumu nchini.

Sasa labda tuwakumbushe kama wamesahau au hawafahamu.

magufuli alikuwa na vision ya kujenga nchi ya kiafrika inayojiamini na pia kujisimamia.
Hivyo alikuwa akiziimarisha Sekta zote Muhimu nchini.

Wakati ananunua ndege za ATCL,pia ndio wakati aliagiza na kununua Helikopta zaidi ya kumi kwa matumizi ya kijeshi kwa JWTZ.

Hii taarifa kwa mujibu wa the Citizen.co.tz
"Tanzania last year received three Aibus A-350 helicopters from an order of 10 it had made in 2017.
Dar had ordered eight AS-350/AS-550 Fenec light helicopters and two AS-532 Cougar/AS 332 transport helicopters from Romania [emoji1205] "
Mwisho wa nukuu.

Na ndio hizo mnazozitumia sasa hivi kwa majigambo bila hata aibu.

Kusuasua kwa ATCL kunachangiwa pamoja na Janga la Korona lililopelekea usafiri wa anga kufungwa Duniani kote.

Kwa kipindi ambacho ndio jitihada za kuanzisha route zake kubwa na zenye faida kimataifa,zilikuwa zimeanza.

Lakini kwa sasa tunajua wamerudi walewale ambao walituletea Fast Jet.
Tutarajie kuona na kusikia mengi.

commonmwananchi
10101.
 
Naambatanisha hii nukuu kutoka,
the Citizen.co.tz

Kwamba biashara imeyumba na kwingine imekufa kabisa:

IMG_20220413_155419_738.jpg

Labda ongeza sauti. Anakusikia kweli huyu?
 
Yamkini Mwenda zake alijaribu kuimarisha secta ya usafiri wa anga.
Lakini aliikuta ATC ikiwa na madeni yasiyolipika ,na kwa hiyo ikashindwa kutambuliwa kwenye mashirika ya usafiri duniani IATA mpaka ilipe Det zake za Nyuma .
Ikatumia njia mbadala BYPASS ya kudanda kwa Mashirika mengine kuuzia tiket zake na kuendela na maisha.
Kimsingi ATC ni mshipa uliowashinda wahenga ila Mzee wa Hapa Kazi aliupasua kwa meno. Kongole huko ulipo.Maana Mkapa ndiye aliyeizamisha ATC kwa kuwauzia Matapeli South Africa na kutuzamisha kabisa na kutuachia madeni kama nchi.
Ama Magu alikithiri kwa Kudhulumu raia Mali zao, wenye Buro de change, wenye Pesa ndani ya Mbenki , na wafanya Biashara wa aina fulani walihujumiwa, mpaka ikawawia tabu kuendelea na Biashara nchini,

Alivuruga sana Uhusiano wa kimataifa, na kuifanya nchi kuwa kama kisiwa.

Lakini kuanzisha Bwawa la Umeme nampa Kongole, na Treni ya Umeme ya Mwendo kasi. SGR.
Legacy ya Kuibaka Demkrasia na Kuiba uchaguzi hii haiwezi Kumbanduka.
kwa Hiyo kuna mazuri na mabaya yake
 
Back
Top Bottom