Sultani Makenga
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 621
- 1,039
Hakuna legacy aliyoiachaWajumbe, swali liko very straight, linajitegemea wala halihitaji kurembwa.
Recently kumekua na juhudi kubwa sana za kutaka kuuaminisha umma kuwa Magufuli alikua sahihi sana na hivyo kwa yale ambayo aliyafanya akiwa hai hayapaswi kupingwa, kuachwa, kurekebishwa, kuboreshwa kwakua kwa kufanya hivyo "tutakua" tunafuta kile kinachoitwa "Legacy ya Magufuli".
Yaani Magufuli alikua sahihi, kwa mfano, kujenga ukuta mererani ambao bado haujasaidia kutoroshwa madini, refer statements za week kadhaa, kuchoma vifaranga kutoka Kenya, kuzuia mabinti waliopata mimba kurejea shuleni, kukataza vyama vya siasa kufanya siasa, kuboresha ujenzi wa bwawa la Umeme, kuvaa barakoa na kuchanjwa etc.
Wacha niishie hapa kwanza
Legacy nyingine muhimu sana ni Sabaya, Mahela mvuruga uchaguzi.Hivi Nyerere hana legacy? Mwinyi je? Mkapa nae? Jk je? Acheni masihara. Legacy pekee ya Magufuli ni WATU WASIOJULIKANA, Azory Gwanda na Ben Saanane, Bashite na kugeuka kituko dunia nzima kwa kuaminisha watu kuwa Korona imeisha.
Jeez!Ukweli ni kwamba kuna mambo yalifanyika kwa kutumia mbinu za kibabe na kila unapowauliza watu kuhusu awamu ile unazidi kuwa pandisha hasira zao. Wema hujisemea wenyewe hauhitaji nguvu nyingi kuelezea.
Watu wana huzuni kwa vifo vilivyotokea bila kutolewa ufafanuzi: Azori Ngwanda, Ben Saanane, Alfred Mawazo, Leijabe na wengine wengi waliopotea. Mazingira kama haya yanafuta mazuri yote aliyofanya mtu. Sababu ni ndogo tu ambayo amezalisha yatima na wajane wengi bila sababu ya msingi.
Nikifika nitamkuta Kaka Mkubwa Joe ndio kiongozi wanguMkuu,
Umeurithi uzima wa milele kwa kuja na mada hii ambayo inaogopeka na wengi, wewe jasiri kama JPM. Keep it up!
Mviringo au mbatata?Magufuli alikuwa Kiazi
Bab Marley anaimba rege. Anatumia lugha ya picha na fasihi ya hali ya juu sana. Yapaswa use unaweza kupambanua haswa ili ujue anaimba nn?Hivi kuna legacy gani mnayo ilazimisha sana kila kukicha?
Hivi kuna legacy gani mnayo ilazimisha sana kila kukicha?
Hivi Nyerere hana legacy? Mwinyi je? Mkapa nae? Jk je? Acheni masihara. Legacy pekee ya Magufuli ni WATU WASIOJULIKANA, Azory Gwanda na Ben Saanane, Bashite na kugeuka kituko dunia nzima kwa kuaminisha watu kuwa Korona imeisha.
Hakuna legacy bali aibu ya nchi kuongozwa na kichaa kwa miaka mitanoWajumbe, swali liko very straight, linajitegemea wala halihitaji kurembwa.
Recently kumekua na juhudi kubwa sana za kutaka kuuaminisha umma kuwa Magufuli alikua sahihi sana na hivyo kwa yale ambayo aliyafanya akiwa hai hayapaswi kupingwa, kuachwa, kurekebishwa, kuboreshwa kwakua kwa kufanya hivyo "tutakua" tunafuta kile kinachoitwa "Legacy ya Magufuli".
Yaani Magufuli alikua sahihi, kwa mfano, kujenga ukuta mererani ambao bado haujasaidia kutoroshwa madini, refer statements za week kadhaa, kuchoma vifaranga kutoka Kenya, kuzuia mabinti waliopata mimba kurejea shuleni, kukataza vyama vya siasa kufanya siasa, kuboresha ujenzi wa bwawa la Umeme, kuvaa barakoa na kuchanjwa etc.
Wacha niishie hapa kwanza
Hakuna legacy bali aibu ya nchi kuongozwa na kichaa kwa miaka mitano
Mtalazimisha sana hiyo legacy lkn hakuna mtanzania anayeijua wala kuitambua hiyo kitu.Legacy ya Magufuli haiwezi kufutika kisengekisenge kwa mawazo ya wasenge wachache.Itafutika kwa kufanya zaidi ya yale aliyokuwa anatekeleza.Sasa hivi maofisini imerudi tena ile tabia ya kuambiwa njoo kesho kesho kesho,wapumbavu wanasema mama anaupiga mwingi acheni unafiki
Umeonaeeee?Hakuna legacy aliyoiacha
Umenena jambo kubwa sana ambalo kwa macho au akili ya kawaida ingekuwa ngumu kuliona hilo.Legacy nyingine muhimu sana ni Sabaya, Mahela mvuruga uchaguzi.
Kama hana legacy mbona unatumia mda wako kupingana nayo? Unapinga kitu kisichokuwapo?Hivi Nyerere hana legacy? Mwinyi je? Mkapa nae? Jk je? Acheni masihara. Legacy pekee ya Magufuli ni WATU WASIOJULIKANA, Azory Gwanda na Ben Saanane, Bashite na kugeuka kituko dunia nzima kwa kuaminisha watu kuwa Korona imeisha.
"Kila mtanzania mwenye akili timamu lazima ampinge huyu....uchwara!" Alisikika muungwana mmoja akisema barazani.Wajumbe, swali liko very straight, linajitegemea wala halihitaji kurembwa.
Recently kumekua na juhudi kubwa sana za kutaka kuuaminisha umma kuwa Magufuli alikua sahihi sana na hivyo kwa yale ambayo aliyafanya akiwa hai hayapaswi kupingwa, kuachwa, kurekebishwa, kuboreshwa kwakua kwa kufanya hivyo "tutakua" tunafuta kile kinachoitwa "Legacy ya Magufuli".
Yaani Magufuli alikua sahihi, kwa mfano, kujenga ukuta mererani ambao bado haujasaidia kutoroshwa madini, refer statements za week kadhaa, kuchoma vifaranga kutoka Kenya, kuzuia mabinti waliopata mimba kurejea shuleni, kukataza vyama vya siasa kufanya siasa, kuboresha ujenzi wa bwawa la Umeme, kuvaa barakoa na kuchanjwa etc.
Wacha niishie hapa kwanza
Mtalazimisha sana hiyo legacy lkn hakuna mtanzania anayeijua wala kuitambua hiyo kitu.
Nyinyi chawa wake ndiyo mnalazimisha tu na kuendelea kuabudu sanamu