ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Kwani hua wanategemea mshahara pekee?Yes wamezitoa wapi
Nitajie mwanasiasa ambaye ni tajiri na si fisadi
Inashangaza au haishangazikwenye taifa la wafanyabiashara wenye mabillion wengi zaidi ya maelfu watu wanaumia kuona mawaziri 40 wamiliki na wenyewe hizo billion..kwa sababu kama kuna wafanyabiashara wanafunga million 10 faida hapo kariakoo utashangaaje kuona waziri amiliki nyumba ya million 500 au gari la million 100
Weka hoja kwanini mwanasiasa akiwa tajiri ni fisadi ila mtu wa kawaida asie mwanasiasa akiwa tajiri sio fisadiKwa afrika wanasiasa matajir ni mafisadi,rushwa man,wakwepa kodi,dili chafu magendo na akuna ambae atakosa kimoja apo
Mstari wa kwanza nimekuelewaKuna baadhi ya wanasiasa sio matajiri😊.
Ila ni wale wa Ngazi ya chini kabisa 😜
Maana nataka kuwajua wajumbe.
Sijui sana kuhusu siasa.Mstari wa kwanza nimekuelewa
Japo sio sana ungeweka ufafanuzi
Ila huo mstari wa mwisho sijui hata unaongelea nini
Mjumbe Mkuu atakuja kutoa taarifa za hao wajumbe.Sijui sana kuhusu siasa.
Kuna wanasiasa wanaitwa "Wajumbe"
Natamani kuwajua zaidi.
Wanasiasa wasio na pesa nyingi mara nyingi ni madiwani kushuka huko chini.
Mimi pia hii hunishangaza sana kijana kapambana anavuja jasho kwa sababu ukiwa masikini watu wakutilii maananiSio wanasiasa tu,hata watu wa kawaida wakijipata lazima watafutiwe sababu au tuhuma za kujipata kwao,
Siku hizi kijana akijipata sio ajabu utasikia akipewa tuhuma za ushoga,
Kabla ya hapo tuhuma kwa vijana wanaojipata ilikua madawa,ikaja uchawi,sasa hivi ushoga!
Bila shaka kuna baadhi ya watu hua wanatumia failure zao ili kujifariji kwa kuwatuhumu vijana waliojipata,
Angalia hata Mo ataambiwa mali za urithi,ili mradi tu mtu ajifariji kwa kushindwa kwake!
Comment yangu sijamtetea mtu yeyote, bali nimeweka tu mtazamo wangu kutokana na mambo yanavyo kwenda kwenye jamii husika.
Sasa umeingia kwenye mfumo wanguKwani hua wanategemea mshahara pekee?
Hawana biashara?
Au mpka watangaze biashara zingine wanazofanya?
Nipe wewe hizo taarifaMjumbe Mkuu atakuja kutoa taarifa za hao wajumbe.
😅😅 wajumbe kazi yao kubwa ni kutia ✔️&❌️Sijui sana kuhusu siasa.
Kuna wanasiasa wanaitwa "Wajumbe"
Natamani kuwajua zaidi.
Wanasiasa wasio na pesa nyingi mara nyingi ni madiwani kushuka huko chini.
Mkuu,Wanasiasa wasio na pesa nyingi mara nyingi ni madiwani kushuka huko chini.
Mmoja wao huyu hapa diwani tajiriMkuu,
Kuna sehemu madiwani ni mabilionea kabisa