The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Huogopi kuzomewa na wana nchi mkuu?
Wakinizomea huku nina bilioni 1 kwenye acc hakuna shida
Huogopi kuzomewa na wana nchi mkuu?
Toka hapa wewe fisadi ajaeWakinizomea huku nina bilioni 1 kwenye acc hakuna shida
Toka hapa wewe fisadi ajae
Ila nimecheka 😅😅
Kwahiyo ukizomewa una B yako utaona wanakuchekesha
Haya bana nakubaliEeh unaona aibu kidogo, Baadae jioni unapanda ndege kwenda Paris kunywa Wine