Je, Kila Mwanasiasa Tajiri ni Fisadi?

Je, Kila Mwanasiasa Tajiri ni Fisadi?

Nilikutana na mwigulu chuo kikuu alikuwa Hana hata viatu na alikuwa mchafu sana.leo ni tajiri mkubwa akipokea rushwa kwenye sandarusi.
Nilikutana na zitto cho hakuwa na kitu Leo ana malori ya kusafirisha mafuta nchi za nje
Mifano ni mingi nimetaja michache
Ukiwa kwenye nafasi walizonazo hao watu wewe utakua tofauti na wao?
Nimeuliza sio kwa ubaya lakini
 
huku kwetu watu wanajenga majumba kadhaa ya mamilioni na pengine wananunua magari ya kifahari nk nk na hawana mradi wa kueleweka, hawana mkopo wa kueleweka, hawaja ajiri, kodi ndio wanalipa ya kuunga unga....na watu wanawaita matajiri
Ahaa sawa
 
Ukitumia wanasiasa wa Tanzania kama reference jibu litakuwa ndiyo. Huwa wanaingia kwenye siasa kwa ajili ya kupata utajiri.

Wengi huwa wanaingia kwenye siasa wakiwa na hali ya uchumi wa kawaida sana,haijalishi atokee kwenye position gani ya kazi. Mwana FA et al.

Kingine linganisha mtu anayefanya kazi ya kawaida ambayo siyo ya kisiasa, na mwanasiasa wakianza kazi sawa subiria baada ya miaka mi5 au 10 kama wanalingana.

Nafasi za kisiasa ni nafasi za maamuzi, hata usipoiba pesa direct,kuna mianya ya kukwepa kodi utaipata, uta win tenders zenye faida kubwa, sababu unakuwa mnajuana.

Pia nafasi za kisiasa ziko prone to corruption. Li, lakini kuna chance au miradi ambayo unaweza ukawa legible kuifanya ukaambiwa bila kutoa % kadhaa haupati na usipotoa haupati kweli.

Mtu ana priorities zote hizo kwanini asiwe tajiri? Hii ni kwa wanasiasa karibia wote wa Africa, siyo wapinzani wala sisiemu.
Sio Afrika pekee ni duniani kote.
 
Point yangu iko wazi sana kuhusu nature ya utajiri. Umeleta tu mihemuko kuambiwa topic imekuzidi uwezo. Hii sio maada ya kutoa jibu moja kwa sentensi chache ukawa sahihi, moral issues are complex worldwide.
Sasa kama hii sio mada ya kutoa jibu kwa sentensi chache kwanini usitoe hoja kwa sentensi nyingi badala yake umekimbilia kusema mada imenizidi uwezo

Huoni kama wewe ndio umekuja na mihemko bro relax changia kwa kiasi chako issue ya kukuelewa waachie wasomaji 😊
 
Ukitumia wanasiasa wa Tanzania kama reference jibu litakuwa ndiyo. Huwa wanaingia kwenye siasa kwa ajili ya kupata utajiri.

Wengi huwa wanaingia kwenye siasa wakiwa na hali ya uchumi wa kawaida sana,haijalishi atokee kwenye position gani ya kazi. Mwana FA et al.

Kingine linganisha mtu anayefanya kazi ya kawaida ambayo siyo ya kisiasa, na mwanasiasa wakianza kazi sawa subiria baada ya miaka mi5 au 10 kama wanalingana.

Nafasi za kisiasa ni nafasi za maamuzi, hata usipoiba pesa direct,kuna mianya ya kukwepa kodi utaipata, uta win tenders zenye faida kubwa, sababu unakuwa mnajuana.

Pia nafasi za kisiasa ziko prone to corruption. Labda uwe mgeni kwenye nchi hii, lakini kuna chance au miradi ambayo unaweza ukawa legible kuifanya ukaambiwa bila kutoa % kadhaa haupati na usipotoa haupati kweli.
Asante kwa maoni mkuu🙏🙏
Mtu ana priorities zote hizo kwanini asiwe tajiri? Hii ni kwa wanasiasa karibia wote wa Africa, siyo wapinzani wala sisiemu.
Mimi nimechukua hapa
 
Sasa umeingia kwenye mfumo wangu

Wanasiasa wote wanaofanya biashara wanakwepa kodi ndo Ufisadi wenyewe
Wanapata tenda kwa upendeleo ndo Ufisadi wenyewe
Pia wanapata taarifa mapema za miradi ya kuwa financed na taasis za fedha za serikali ndo Ufisadi wenyewe

1. Mwigulu
2. Rostam Azizi
3. Samia suluhu na familia yake
4. Kikwete na familia
5. Msukuma kasheku
6. Na wengine wengi tuna mafaili yao

Huo ufisadi wa kupata Taarifa mapema ya miradi ya kua financed na Serikali ja mimi nautaka mkuu 😌
 
Hata bunge kutunga sheria itakayo wafavour mfano kujilipa allowance nyingi, kufanya tour zisizo na kichwa wala miguu rejea under seventeen final nao ni ufisadi.
 
.
Huna haja ya kujichekesha uonekane uko sahihi. Jibu hoja niliyoweka.
Kanuni no moja ukija kwenye mjadala usije na makasiriko kabisa
Huwezi kunipangia nicheke au nilie
Kwa topic yako kutegemea kupata jibu kwa sentensi chache na likawa sahihi ni wendawazimu, ama lah una perception zako na usingeileta kama mjadala, ungefanya conclusion mwenyewe. Elewa neno mtambuka.
Hapa ndiyo ulitakiwa kuonesha umahiri wako wewe mwerevu wa mambo
Kama huna akili ya kuelewa nilichosema hapo juu kwamba biashara inayotengeneza utajiri ni exploitative in nature hta bila siasa. Sasa huyo huyo bwenyenye awe mwanasiasa atamlinda mnyonge?
Asante kwa maoni mkuu
 
Kanuni no moja ukija kwenye mjadala usije na makasiriko kabisa
Huwezi kunipangia nicheke au nilie

Hapa ndiyo ulitakiwa kuonesha umahiri wako wewe mwerevu wa mambo

Asante kwa maoni mkuu
Hayo maoni ndo ulitakiwa uyapinge ama kuyakubali frm the very beginning, na sio maneno mawili yakujaze upepo, mtoa mada.
Wachangiaji ni watu si robots wana majibu ya maudhi, dharau, kejeli etc. If you are quick to react, how can you get the best frm them? Unless umeanzisha uzi kiushabiki na sio kujifunza.
 
Hayo maoni ndo ulitakiwa uyapinge ama kuyakubali frm the very beginning, na sio maneno mawili yakujaze upepo, mtoa mada.
Hivi hapa aliejaa upepo ni nani lakini😅

Anyway karibu tena mkuu
Ningependa kukuona tena kwenye mijadala mingine zaidi😊
 
Back
Top Bottom