Bikra unayo
JF-Expert Member
- Mar 24, 2026
- 638
- 2,312
Hivi hapa aliejaa upepo ni nani lakini
Hivi hapa aliejaa upepo ni nani lakini
Anaruhusiwa... ila asiwe ametumia madaraka yake kutengeneza vipato ambavyo sio halaliLakini je, mwanasiasa haruhusiwi kuwa na good life?
Sawa mkuuAnaruhusiwa... ila asiwe ametumia madaraka yake kutengeneza vipato ambavyo sio halali
Sasa mpka nikaulize jamani si uniambie tu rafikiMfano mzuri ni Kenya hapo
Ulizia matajiri wote wanashughulika na nini?
Matajiri wote wa Kenya ni wanasiasa.Sasa mpka nikaulize jamani si uniambie tu
KumbeeMatajiri wote wa Kenya ni wanasiasa.
Ufisadi Kenya ni kawaida ndio maana hata katiba mpya haijawasaidia.Kumbee
kwa hiyo pia huko Kenya wanachukulia hao matajiri wao kama mafisadi
Au wao ni tofauti?
Aisee kumbe haya sawa mkuu asante kwa maoni karibu tenaUfisadi Kenya ni kawaida ndio maana hata katiba mpya haijawasaidia.
Nirushie namba yako PM tuyajenge.Aisee kumbe haya sawa mkuu asante kwa maoni karibu tena
Kuhusu ufisadi au kuna agenda nyingine?Nirushie namba yako PM tuyajenge.
Vp hapa nchini uhusiano kati ya ufisadi na utajiri ukoje?Ufisadi Kenya ni kawaida ndio maana hata katiba mpya haijawasaidia.
Azimio la arusha&azimio la zanzibarNasoma , naelewa , najifunza na hii ndiyo sababu kwanini nikafungua huu uzi right?
Kwa mantiki hiyo mwanasiasa asifanye biashara ili kuepuka uvunjifu wa maadili si ndio ?
Agenda nyeti sana ya viungo vyetuKuhusu ufisadi au kuna agenda nyingine?
Ungenitafunia kidogo basi kwa faida a member wengine piaAzimio la arusha&azimio la zanzibar
Sina kiungoAgenda nyeti sana ya viungo vyetu
Duhh hapo sasa nataka nikutane na binadamu asiye na viungo.Sina kiungo
pole sana umekisea target
Jikite kwenye madaDuhh hapo sasa nataka nikutane na binadamu asiye na viungo.
Kazi gani hiyo tudokezeKazi ipo tena kubwa sana