cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Basi sawaaNakosa cha kusema
Basi sawaaNakosa cha kusema
Kwahiyo tuache malalamiko si ndioHata sheria zikitungwa namna gani, hakuna mahali tutafika kwa mentality ya watanzania wa kizazi hiki. Niambie nani mzalendo anaweza kusimama kwa ajili ya nchi yake sasa hivi, binafsi simuoni. Leo hii ukipewa nasafi fulani, hata ukurugenzi tu au ukuu wa wilaya, utataka kujineemesha wewe na watu wako, na hiyo ni kwa mtanzania yoyote wa kizazi hiki.
Hapa umenena 📌Yes, wengi tunaongea kwa vile tupo nje ya mfumo. Tukiingia midomo inajaa mafuta tu dadeq! Halafu tunanyamaza kama hatujui vile, hii nchi uzalendo ni somo la kufundishwa from grassroots.
Hapana. Nasema; kwa mwanasiasa kuwa fisadi au sio fisadi itategemea hulka yake. Yule mwanasiasa ambaye ki-ukweli amejitoa kuwahudumia wananchi wake Hatokuwa Fisadi kwani katika Ufisadi huo atakuwa kwa namna moja au nyingine atakuwa amewaumiza wananchi wake.Kwahiyo hapa unataka kusema kila mwanasiasa ni fisadi si ndio?
Sasa kama ni topic mtambuka na anahisi imenizidiTopic mtambuka
Sawa asante kwa maoni na karibu tenaHapana. Nasema; kwa mwanasiasa kuwa fisadi au sio fisadi itategemea hulka yake. Yule mwanasiasa ambaye ki-ukweli amejitoa kuwahudumia wananchi wake Hatokuwa Fisadi kwani katika Ufisadi huo atakuwa kwa namna moja au nyingine atakuwa amewaumiza wananchi wake.
Pamoja sana mpendwa.Sawa asante kwa maoni na karibu tena
Sio kitu cha kufumbia macho, huenda ikaonekana kawaida kwa sasa, ila future ya vizazi vyetu inakuwa mashakani. Taifa ambalo halina uzalendo, kuanzia raisi hadi mkulima wote ni mafisadi kwa nafasi zao sio sawa.Kwahiyo tuache malalamiko si ndio
Kwa maana kila mtanzania wa sasa akipata nafasi atafanya yale yale anayo yalalamikia sasa hivi?
😅😅😅 na mimi anavyokuja ndio navyompokea Cc: Chivundu
Kwa mantiki hiyo makosa yalifanyika na wazee wetu hawakutufundisha uzalendo wa kweliSio kitu cha kufumbia macho, huenda ikaonekana kawaida kwa sasa, ila future ya vizazi vyetu inakuwa mashakani. Taifa ambalo halina uzalendo, kuanzia raisi hadi mkulima wote ni mafisadi kwa nafasi zao sio sawa.
Solution ni kufundisha uzalendo, tuanze upya na kizazi kilichopo tumboni hadi 10yrs.
Nimefanyaje sasa mimi😊Una fujo sana binti mrembo. 😊
Nimefanyaje sasa mimi😊
Na tuseme amenSitaki kuharibu uzi wako wa kisiasa, mimi na wewe tutakutana tuu Chitchat. 😊
Kwa madili yaliyokua yanapigwa wakati wake wa uongozi, ingawa jina lake halijawahi kutajwa popote ila siamini kama huyo mzee hakujinyakulia chochote.Huo ndo ukweli ukiwa Rais unamiliki kila kitu hata hapa Tanzania Jk anaweza kua Tajiri namba moja
.Topic yangu haijanizidi uwezo
Ila Topic yangu imekuzidi uwezo wewe
Hicho kinachotufanya tuhoji. Hauwezi kukuta mtu anahoji utajiri wa Aboud.Kinachopaswa kuangaliwa ni uwiano kati ya mapato yake halali, muda aliokuwa madarakani na ongezeko la mali zake
Nilikutana na mwigulu chuo kikuu alikuwa Hana hata viatu na alikuwa mchafu sana.leo ni tajiri mkubwa akipokea rushwa kwenye sandarusi.Yes wamezitoa wapi
Nitajie mwanasiasa ambaye ni tajiri na si fisadi
huku kwetu watu wanajenga majumba kadhaa ya mamilioni na pengine wananunua magari ya kifahari nk nk na hawana mradi wa kueleweka, hawana mkopo Bank wa kueleweka, hawaja ajiri, kodi ndio wanalipa ya kuunga unga....na watu wanawaita matajiriUpo sahihi hapa kwetu ni tajiri yupi katajwa na ni mwanasiasa mi hua nawasikia kina mo na wengineo
Sasa kama ni topic mtambuka na anahisi imenizidi
Yeye si angeonesha umahiri wake ili mimi nichukue somo
Kitendo cha yeye kuchangia juu juu ni ishara kua yeye binafsi imemzidi pakubwa sana