ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #61
Aiseee sasa itawezekana kweli mtu ategemee mshahara tu?Ndio inatakiwa kua ivyo
Aiseee sasa itawezekana kweli mtu ategemee mshahara tu?Ndio inatakiwa kua ivyo
Sasa kwanini Chivundu ameanza kukufokea tena?Nasoma , naelewa , najifunza na hii ndiyo sababu kwanini nikafungua huu uzi right?
Kwa mantiki hiyo mwanasiasa asifanye biashara ili kuepuka uvunjifu wa maadili si ndio ?
Mmhh basi kama ni hivyo uchunguzi uwe unafanyikaUmenisaidia na hapo ana biashara ya Mabilioni haijulikani mtaji kautoa wapi na kwenye "TUME YA MADILI" hajadeclare hizo mali wala biashara....si unajua watumishi wa umma wanataja mali wanazomiliki kwenye kitengo cha maadili?
Nyerere aliwaambia kama unataka kufanya biashara acha utumishi wa UMMA ukafanye biashara...alifanya hivyo ili wasiwe na conflict of interest ,pata picha waziri ambaye anamiliki mabasi unafikiri ataweza kupitisha ongezeko la kodi ya mabasi bungeni? pata picha mtozo ushuru wa TRA anaweza kumzuia waziri kuingiza bidhaa zake kimagumashi?Sawa ni kosa upo sahihi
Lakini hapo unaposema mwanasiasa kua mfanyabiashara ni hatari
Unataka kusema waache kufanya biashara?
Sasa kwanini Chivundu ameanza kukufokea tena?
Kauli ya Soma uelewe ni kama vile analazimisha ukubaliane na hoja yake.Kumbe hata wewe umeona nitamfatilia😊
Hao wanaofanya uchunguzi na wenyewe wana mali sizioelezeka ,wewe unafikiri hawajui mali za hao viongozi? Wanazijua sana sema ndiyo hivyo wote WEZZI kwa hiyo hakuna wa kumfunga paka kengele.Mmhh basi kama ni hivyo uchunguzi uwe unafanyika
Hii kauli ya Nyerere ina kitu ila mpka hapa tulipo fika inamaana haikufanyiwa kazi?Nyerere aliwaambia kama unataka kufanya biashara acha utumishi wa UMMA ukafanye biashara...alifanya hivyo ili wasiwe na conflict of interest ,pata picha waziri ambaye anamiliki mabasi unafikiri ataweza kupitisha ongezeko la kodi ya mabasi bungeni? pata picha mtozo ushuru wa TRA anaweza kumzuia waziri kuingiza bidhaa zake kimagumashi?
La hasha sijui chochoteMuanzisha uzi anaujua ukweli wote, anawachoresha tu hapa.
Jibu ...kuna Fisadi mwenye UZALENDO na kuna FISADI asiye na chembe ya UZALENDO...hivyo swala siyo kupata viongozi au wanasiasa wasio mafisadi kabisa ni ngumu, ila wawe mafisadi wenye UZALENDO, sifa za mafisadi wenye UZALENDO ni kuwa na kiasi na kujali misingi ya utaifa na maendeleo ya taifa na ufisadi wao huwa hauvuki kiwango cha kuliangamiza taifa ...Kuna kitu huwa kinanichanganya na kunifikirisha
Mtu akiamua kugombea udiwani, ubunge au hata urais, je, huwa anatafuta kazi kama zilivyo kazi nyingine ili apate kipato cha kujihudumia yeye na familia yake?
Au huo ni uzalendo usiohusisha maslahi yoyote binafsi?
Nauliza hivi kwa sababu mara nyingi ukimwona mwanasiasa anaendesha gari la kifahari au anaishi maisha mazuri, watu wengi hukimbilia kusema ameiba au ni fisadi
Lakini je, mwanasiasa haruhusiwi kuwa na good life?
Maana yupo kazini, analipwa mshahara na stahiki nyingine kama watumishi wengine
Au sisi kama jamii tunaamini kwamba mwanasiasa akionekana ana maisha mazuri, basi lazima kuna jambo lisilo sawa?
👇
NB: Mada hii ni kwa ajili ya mjadala na kubadilishana mawazo, kwa kuzingatia Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, inayompa kila mtu haki ya kuwa na maoni na kueleza fikra zake kwa mujibu wa sheria
So ningependa maoni yasio na matusi ziwe hoja tu itapendeza
Karibuni kwa hoja
ShesRise_1 ✋️
Hapana mimi nipata mkanganyikoLeo wanasiasa wamepata mtetezi
Nakunukuu: wanasiasa wote ni mafisadi kasoro Nyerere 😮Hao wanaofanya uchunguzi na wenyewe wana mali sizioelezeka ,wewe unafikiri hawajui mali za hao viongozi? Wanazijua sana sema ndiyo hivyo wote WEZZI kwa hiyo hakuna wa kumfunga paka kengele.
Mwanasiasa ambaye alikuwa siyo FISADI ni Nyerere tu wengine WOTE WEZI tu.....Nyerere hadi anastaafu alikuwa hana nyumba zaidi ya hiyo ya msasani ambayo ilikuwa ya kawaida siyo ya ngazi yake ya urais.
Nyerere amestaafu alikuwa hana gari nzuri ikabidi serikali wamepatie Musso mwaka 1997 imsadie katika shughuli ndogo ndogo.
Nimeelewa kwamba shida sio ufisadiJibu ...kuna Fisadi mwenye UZALENDO na kuna FISADI asiye na chembe ya UZALENDO...hivyo swala siyo kupata viongozi au wanasiasa wasio mafisadi kabisa ni ngumu, ila wawe mafisadi wenye UZALENDO, sifa za mafisadi wenye UZALENDO ni kuwa na kiasi na kujali misingi ya utaifa na maendeleo ya taifa na ufisadi wao huwa hauvuki kiwango cha kuliangamiza taifa ...
ILA MAFISADI WASIO WAZALENDO NDIYO UNAKUTANA NA EPA ESCROW, IPTL..PESA ZA RUMBESA , DP WORLD, MAUAJI YA WAMASAI KWA KUWAPA ARDHI YAO WAARABU NA KUDAI WAMASAI HAO NI WAKENYA NK..Siku zote mafisadi wasio na UZALENDO ni maadui no 1 wa WAZALENDO na UZALENDO
Kwa maana hata wewe hapo ukipata hiyo chance utaitumia?Africa hii mkuu, hakuna mwanasiasa Anaweza tajirika kwani wanaingia huko wakiwa hawana kitu.
Huko Duniani angalau uwe mwanasiasa uwe na DOO.
Ndiyo...hata marais wa nchi zilizo endelea ni mafisadi ila wameweza kuendeleza nchi zao kwa sababu ya UZALENDO...ni kama tunavyo sema madikteta ...kuna MADIKTETA WAZALENDO NA MADIKTETA WASIO WAZALENDO(YAANI WALIO MAADUI WA UZALENDO) mfano ni samia na serikali yake..Nimeelewa kwamba shida sio ufisadi
Walau uwe fisadi mzalendo