realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,450
- 19,184
Unataka nitafutwe 😅 mbona unaitwa watu wengi hivo Icebreaker.
Unataka nitafutwe 😅 mbona unaitwa watu wengi hivo Icebreaker.
Anigawie kidogo 😅Mmoja wao huyu hapa diwani tajiri
Hapa Tanzania tajiri number moja anaweza kua ni mwanasiasaSiasa sio legitimate source ya kupata utajiri na ukwasi. Ndio maana Forbes, Fortune magazines hawawaweki wanasiasa katika orodha ya watu matajiri "self-made $ billionaires".
Jana nilikuwa nasoma utajiri wa Cyril Ramaphosa, ni miongoni mwa watu matajiri South Africa, ana utajiri wa $450 million, yeye na shemeji yake Patrice Motsepe wana ushirika katika biashara kubwa ya madini hapo SA.
The same story kwa dynasties kama Uhuru Kenyatta, Paul Kagame, Sassou Ngueso, Paul Biya n.k. Hapo Kenya matajiri wanaowekwa kwenye orodha halali ni wahindi, lakini Kenya hapo Kenyatta family wana utajiri wa kuzidi, ishu inakuja ni namna walivyoupata huo utajiri ambao una ukakasi "controversial". 😊
Huwezi kuwa mwanasiasa ukawa na pesa safi. Never!
Umesema huwezi kua mwanasiasa ukawa na pesa safiSiasa sio legitimate source ya kupata utajiri na ukwasi. Ndio maana Forbes, Fortune magazines hawawaweki wanasiasa katika orodha ya watu matajiri "self-made $ billionaires".
Jana nilikuwa nasoma utajiri wa Cyril Ramaphosa, ni miongoni mwa watu matajiri South Africa, ana utajiri wa $450 million, yeye na shemeji yake Patrice Motsepe wana ushirika katika biashara kubwa ya madini hapo SA.
The same story kwa dynasties kama Uhuru Kenyatta, Paul Kagame, Sassou Ngueso, Paul Biya n.k. Hapo Kenya matajiri wanaowekwa kwenye orodha halali ni wahindi, lakini Kenya hapo Kenyatta family wana utajiri wa kuzidi, ishu inakuja ni namna walivyoupata huo utajiri ambao una ukakasi "controversial". 😊
Huwezi kuwa mwanasiasa ukawa na pesa safi. Never!
Labda mjini.Mkuu,
Kuna sehemu madiwani ni mabilionea kabisa
Siamini 😅.😅😅 wajumbe kazi yao kubwa ni kutia ✔️&❌️
Umesema wanasiasa wote wanafanya biashara ila wanakwepa kodiSasa umeingia kwenye mfumo wangu
Wanasiasa wote wanaofanya biashara wanakwepa kodi ndo Ufisadi wenyewe
Wanapata tenda kwa upendeleo ndo Ufisadi wenyewe
Pia wanapata taarifa mapema za miradi ya kuwa financed na taasis za fedha za serikali ndo Ufisadi wenyewe
1. Mwigulu
2. Rostam Azizi
3. Samia suluhu na familia yake
4. Kikwete na familia
5. Msukuma kasheku
6. Na wengine wengi tuna mafaili yao
Hapa Tanzania tajiri number moja anaweza kua ni mwanasiasa
Kuna tatizo diwani akiwa bilionea?Mkuu,
Kuna sehemu madiwani ni mabilionea kabisa
kama ni zako nipo radhi kukumiminia maua ila kuhusu siasa ni hapana☺️
Ni kweli kabisa je huyo mwanasiasa ni kosa kua tajiri no moja?Hapa Tanzania tajiri number moja anaweza kua ni mwanasiasa
Pole😊Siamini 😅.
Kuna kitu zaidi hapo
Ni kosa katumia madaraka yake na Imfuruence kujipatia hata kile ambacho hastahili kiufupi wanasiasa kua mfanyabiashara ni hatari ovaNi kweli kabisa je huyo mwanasiasa ni kosa kua tajiri no moja?
Kila mtu timamu anapenda siasaKwa nini wafabiashara mabilionea wanapenda siasa?Je wako tayari kutumia utajiri wao kusaidia jamii au wanatumia nafasi za kisiasa kama kinga na jukwaa la kukua kibiashara?
Kahama,katoro na geita, Asilimia kubwa madiwani ni matajiri(wachimbaji). Wanatumia siasa kama kinga ya kukua kibiasharaLabda mjini.
Huko vijijini baadhi ni watu wa kawaida tu hawana hata usafiri.
Ahaa kumbe tatizo wao sio kua wamiliki ila uhalali wake ni upi okayWanasiasa karibu wote ambao wafanyabiashara ni wakwepa kodi wakubwa, huo ni ufosadi, kama unaingiza container unatakiwa kulipa ushuru sawa na mfanyabiashara mwingine lakini unatumia nafasi yako kukwepa kodi, wewe ni fisadi kama mafisadi wengine.
Wale wasio wafanyabiashara, hasa waliopo kwenye nafasi za kufanya maamuzi, baadhi hufanya maamuzi kwa faida na maslahi yao. Mtu anakwenda kusaini mkataba kwa niaba ya taifa, akifika huko anarubuniwa ili mkataba uwe favourable kwa mwekezaji, huo ni ufisadi mkubwa.
Hatuna shida wakimiliki ukwasi mkubwa, wala sio tatizo. Ila viwe halali basi.