ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #121
Imeisha hiyo kaa tayariYOUR PHYSICAL ADDRESS
YOUR PHONE NUMBER
YOUR EMAIL ADDRESS
YOUR ACC NUMBER NDIVYO VITU VINAVYOMIS
INAFAA NIWE NAVYO IN CASE OF ANYTHING.
Imeisha hiyo kaa tayariYOUR PHYSICAL ADDRESS
YOUR PHONE NUMBER
YOUR EMAIL ADDRESS
YOUR ACC NUMBER NDIVYO VITU VINAVYOMIS
INAFAA NIWE NAVYO IN CASE OF ANYTHING.
Ndio maana yake.Wee unasema so kijijini wanazuga the wanawekeza mjini😮
Dah aiseeKweli vile wanatamba na baiskeri zao za kijani.
nafungua PM kwa ajili yako tu auntie yanguImeisha hiyo kaa tayari
Yaani umeongea kitu kikubwa sana ambacho tokea uzi umeshushwa hakuna mtu amegusiaUkiwa huna utanyang’anywa hata hicho kidogo ulichonacho (Biblia)
Watu wote wanaogomea nafasi yeyote na kupewa ridhaa na vyama vyao hasa CCM amini wana kitu kwanza (kiuchumi). Ile huwa ni kazi kama kazi zingine anagombea udiwani, anawekeza kisi flani baada ta miaka mitano atapata zaidi ya hicho. Hivyohivyo kwenye ngazi zingine.
Wanaogombea ngazi kubwa zaidi wanalia na nguvu kubwa zaidi ya uchumi na connection. Wakiingia wanatoka wakiwa wamepata zaidi.
Siri iko hapa, unahitaji kitu mkononi ili upate zaidi. Mwenyenachk atazidishiwa, na kinyume chake.
Sawa 😅nafungua PM kwa ajili yako tu auntie yangu
Nakosa cha kusemaNdio maana yake.
Hili la katiba umeshakua wimbo uliokosa kiitikioKatiba sahihi
usinifokee bwana kwan mi nimesema unajadili siasa?,, maana yangu ilikua kwamba kuhusu siasa mi sifuatiliagi ila kuhusu habari zako ninazo nyingi mpka ambazo wew hauzifahamu ayu zea🤨😏Hapa hata mimi najadili tu mada ila sio siasa,
Hua sipo interested sana na mambo hayo,
Mimi nikiingia JF hua naingia kwenye Trending na kuanza kusoma nyuzi bila hata kujua nipo jukwaa gani.
Umesema hata walimu wa vyuo wameamua kujiingiza huko siasaniOn equal grounds za kufanya biashara, huyu anakwepa kodi na huyu analipa kodi, unadhani nani atatajirika haraka?
Angalia lecturers wengi wameachana na vyuo wameingia kwenye siasa, ukiachana na stahiki kuwa kubwa ambazo ni haki yao kimsingi, wanakuwa na privileges nyingi, deals zao kupita kwa vimemo tu.
Ndio maana hakuna tajiri yoyote kupitia siasa anakuwa listed huko forces coz wengi pesa zao ni chafu.
We're not jealous, ila kinachosemwa ni ukweli tu, wengi pesa yao ni chafu.
😅😅Hivo mimi nilikuwa sijui.Sasa Vijijini ndio Madiwani ni matajiri haswaa, ila wanawekeza mjini.
Vijijini kuna miradi na madeal mengi ya kupiga.
Lol
😅😅😅😅Mbona nasikia ndo wanachagua Viongozi wanaowataka wao 😜Mabalozi wapewa baiskeri za chama.
😂😂😂
Aisee una hojaKwa muktadha wa mazingira ya kwetu siasa ni ajira wengi wanaogombea ubunge, udiwani, nk hufanya hivyo kama kutafuta kazi na siyo uzalendo wa kulitumikia taifa,
Narudi kwenye swali kuu, mara nyingi kwa kuwa siasa ndiyo inayoendesha kila kitu kuanzia uchumi, afya, elimu nk, wengi hutumia siasa kama ngao ya kufanikisha harakati zao au biashara zao, hapa wengi ndiyo tunaposema kila mwanasiasa tajiri ni fisadi kwa sababu hata kama kabla ya kuwa mwanasiasa labda alikuwa na biashara nzuri tu na zilikuwa zikimpa pesa nzuri tu lazima akiingia kwenye siasa atatafuta favorable climate kwa ajili ya biashara yake ku prosper either kwa kukwepa Kodi, kuweza kupata mikataba minono kwa kutumia nafasi yake ya kisiasa, kupitisha bidhaa zake kinyemela kwa kutumia cheo chake nk, kwa mtazamo wangu mdogo hata kama alikuwa tajiri kabla ya kuingia kwenye siasa lazima utajiri wake utaongezeka maradufu kwa kutumia mgongo wa cheo chake Cha kisiasa na hapa ndipo tunaposema kila mwanasiasa tajiri ni fisadi, tukirudi kwa wanasiasa wengine ambao huingia kwenye siasa na ghafla wanageuka kuwa matajiri wakubwa ni wazi kuwa ukiacha marupurupu wayapatayo ambayo ni makubwa kuliko kawaida pia wengi hununulika na wafanyabiashara kupitisha ajenda zao au kuwapa upendeleo fulani bila kusahau makandokando mengine mengi.
Nyie madiwani hua mna nongwa sana.usinifokee bwana kwan mi nimesema unajadili siasa?,, maana yangu ilikua kwamba kuhusu siasa mi sifuatiliagi ila kuhusu habari zako ninazo nyingi mpka ambazo wew hauzifahamu ayu zea🤨😏
Ikiwa waccmKuna kitu huwa kinanichanganya na kunifikirisha
Mtu akiamua kugombea udiwani, ubunge au hata urais, je, huwa anatafuta kazi kama zilivyo kazi nyingine ili apate kipato cha kujihudumia yeye na familia yake?
Au huo ni uzalendo usiohusisha maslahi yoyote binafsi?
Nauliza hivi kwa sababu mara nyingi ukimwona mwanasiasa anaendesha gari la kifahari au anaishi maisha mazuri, watu wengi hukimbilia kusema ameiba au ni fisadi
Lakini je, mwanasiasa haruhusiwi kuwa na good life?
Maana yupo kazini, analipwa mshahara na stahiki nyingine kama watumishi wengine
Au sisi kama jamii tunaamini kwamba mwanasiasa akionekana ana maisha mazuri, basi lazima kuna jambo lisilo sawa?
👇
NB: Mada hii ni kwa ajili ya mjadala na kubadilishana mawazo, kwa kuzingatia Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, inayompa kila mtu haki ya kuwa na maoni na kueleza fikra zake kwa mujibu wa sheria
So ningependa maoni yasiyo na matusi ziwe hoja tu itapendeza
Karibuni kwa hoja
ShesRise_1 ✋️
Ukiwa na maana?Ikiwa waccm
alf nimekutag mahali ukatoe namba za yule daktar wako, nenda kwanza alf urudi hapa unambie huo udiwani umenipa lini 👿Nyie madiwani hua mna nongwa sana.
Mbona sijaona hiyo tag?alf nimekutag mahali ukatoe namba za yule daktar wako, nenda kwanza alf urudi hapa unambie huo udiwani umenipa lini 👿
nimekutag wew na X wangu, ngoja nikakuite tena🚶♀️Mbona sijaona hiyo tag?
Au ulijisahau ukamtag X wako bila kujijua?