Je, kila nafsi itaonja mauti?

Je, kila nafsi itaonja mauti?

Katika ulimwengu ulioumbwa na Mungu muweza wa yote aliyewapa uhuru wa kuchagua viumbe wake, basi hakutakiwi kuwe na mambo yasiyowezekana.

Kukiwa Kuna mambo baadhi baadhi tu ambayo unaweza kuyafanya, basi hayo huyafanyi kama sehemu ya uhuru wa kuchagua bali ni efforts zako tu.

Unakubali ya kuwa ulicho kiandika hakina maana ? Kwanini hakina maana. Sababu ya malengo ya kuwepo kwa ulimwengu na viumbe. Hapa nitakuuliza swali kwa akili yako tu ya kawaida unafikiri kwanini Tunaishi ? Ungejua malengo ya kuumbwa kwako na kuishi, usinge uliza swali hili.

Nakuuliza swali lingine, mambo yasiyowezekana yanahusiana nini na mwanadamu ? Umbile la mwanadamu ni kamili kwa mazingira yake, ndio maana mwanadamu akapewa uwezo wa kupaa kwa njia nyingine bora zaidi kutokana na umbile alilo umbiwa kwalo.

Mfano wa jambo gani unafanya kwa effort yako tu nje ya uhuru ?
 
Mathayo 16:28
[28]Amin, nawaambieni, Pana watu katika hawa wasimamao hapa, ambao hawataonja mauti kabisa, hata watakapomwona Mwana wa Adamu akija katika ufalme wake.

Verily I say unto you, There be some standing here, which shall not taste of death, till they see the Son of man coming in his kingdom.
 
Kama hutokuwa na huo uwezo kwanini ufikirie nafasi ya wewe kuepuka ujinga ilihali umeumbwa Kwa asili ya udhaifu?

Natamani ungekuwa unajua maana ya maneno, ili uepukane na kuuliza maswali ya kitoto na yasiyo kuwa na maana.

Ulitakiwa ujue Ujinga ni nini ? Maana rahisi ya ujinga ni kinyume cha kujua. Maana yyake ujinga unaepukika na vyote vipo ni suala la kuchagua.

Kuna kitu hujakijua katika suala la udhaifu wa mwanadamu ndio maana unaendelea kuuliza maswali ya kijinga na ya kitoto bali hayana maana kabisa.

Nakupa muda uendelee kuuona ujinga wako ulipo.

Tuendelee ...
 
Na huoni kwamba kufikiria tu kuwa unaweza kuepuka ujinga angalia umdhaifu maana yake unakuwa umem-underestimate Mungu uwezo wake kudhani kwamba udhaifu aliouweka kwako utakuwa na udhaifu wa kuweza kuepukika ili ufanye mambo kiusahihi?

Hivyo vyote ametaka viwepo kwa uwezo wake na ndio maana vipo. Kwahiyo vinazidi kuonyesha ukamilifu wa Allah aliye juu.
 
Hivyo vyote ametaka viwepo kwa uwezo wake na ndio maana vipo. Kwahiyo vinazidi kuonyesha ukamilifu wa Allah aliye juu.
Hii elimu ya kufundisha watu ku free will kwa Allah ni uislam wako unataka kuanzisha au ?

Uislam unaamini hakuna free will kila kitu Allah kapanga ukiwa tumboni mwa mama Yako

Allah kashapanga ata wewe apo inaweza kuwa kashapanga unaenda motoni ata upigize fuvu chini kila siku mara 5 ni kiberiti tu

A'isha, said Allah's Messenger, there is happiness for this child who is a bird from the birds of Paradise for it committed no sin nor has he reached the age when one can commit sin. He said: 'A'isha, it may be otherwise, because Allah created for Paradise those who are fit for it while they were yet in their father's loins and created for Hell those who are to go to Hell. He created them for Hell while they were yet in their father's loins. Sahih Muslim 2662c

Soma maandiko Yako acha kuanzisha uislam wako
 
Mathayo 16:28
[28]Amin, nawaambieni, Pana watu katika hawa wasimamao hapa, ambao hawataonja mauti kabisa, hata watakapomwona Mwana wa Adamu akija katika ufalme wake.

Verily I say unto you, There be some standing here, which shall not taste of death, till they see the Son of man coming in his kingdom.
Vp hao watu,bado wapo mpaka sasa?
 
Back
Top Bottom