Nadhani hiyo ndio itakuwa ushahidi kuonesha Mungu kaumba kila kitu kilicho chema so unaweza kumuita mjinga?
Hakikisha unachokiandika una uhakika nacho, sio kuandika mambo ya dhana.
Unajua ya kuwa unamjadili usiye mjua ?
Allah ameumba wema na ubaya, kisha akampa mwanadamu uhuru wa kuchagua. Ndio maana hata wewe kwa uhuru alio kupatia unamkana.
Kwahiyo ulichokiandika hakiwezi kuwa ushahidi sababu kinapingana na uhalisia.
Hats wewe unavyo mkana leo hii, yeye alijua hilo.