Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamfahamu sahih bukhari?Kwa nini Paulo hapaswi kuaminiwa
Paulo hakuwahi kukutana na Yesu maishani mwake.
Hii ni moja ya sababu kuu ya kutomwamini na kumwamini Paulo.
Kabla ya kujidai kuwa mtume, jina lake lilikuwa Sauli na aliwahi kuwa muuaji wa waumini wa kweli.
Akiwa njiani kuelekea Damasko, akiwa kwenye mgawo wa kuwasumbua waamini wa kweli, anadai kuwa ameona maono ya Kristo, na baada ya hayo, alidai kwamba Yesu alimpa mamlaka ya kufundisha kwa jina lake.
Jee !!!!! kuna ukweli wowote hapa katika maneno yake hayo ??
Kwa vile hakuwahi kukutana na Yesu, akili ya kawaida inasema kwamba yeye hana uhusiano wowote na dini na tunaposoma anachosema tunakuta kwamba hakika yeye hana uhusiano wowote na dini ya kweli ya Nabii Isa (amani iwe juu yake). .
Hebu tuangalie ono la Paulo anapolielezea kwa watu mbalimbali, tofauti wake
1. Katika MATENDO 9:3, imeelezwa kwamba ni Paulo pekee aliyeanguka chini alipoona mwanga. Mstari wa 7 unasema kwamba wengine pamoja naye walisimama bila la kusema.
2. MATENDO 26:14 inasema WOTE walianguka chini.
3. MATENDO 9:7 inasema kwamba watu waliosafiri pamoja na Paulo hawakumwona mtu bali walisikia sauti.
4. MATENDO 22:9 inasema wale waliokuwa pamoja na Paulo waliona nuru lakini HAWAKUsikia sauti ya msemaji.
Hayo hapo juu ni mikanganyiko ya wazi
Mtu ye yote angemkataa Paulo mara moja baada ya kusoma mistari hii.
Ikiwa huu ni uwongo wa wazi tu na Paulo amesahau aliposema nini, basi si zaidi ya ujinga wake lakini ikiwa anatumia mbinu hii kwa makusudi kusimulia hadithi tofauti kwa watu tofauti, basi mbinu hii bado inatumika hata leo.
Mbinu kama hiyo imeweka msingi muhimu sana wa Kanisa, i.e. kupitisha njia inayomfaa mtu.
Unamfahamu sahih bukhari?
Ni mumeoSimfahamu, Nifahamishe , ni Nani huyo ? Ni mtu wa Tanga au Pemba?
Kwani unamtaka ??Ni mumeo
Ivi ni kwamba haipo au ni kwamba mimi na wewe hatujui kama haipo?Hakuna nafsi ya kuonja mauti wala mboga.
Kwasababu nafsi haipo.
Upo wewe na mimi.
Kifo kipo, ni nature na ndio sifa ya kiumbe hai lazima kipitie njia hiyo.
Japo wanasayansi wanaamini kuwa miaka ya mbeleni huko kunaweza kupatikana ufumbuzi wa kurudisha uhai kwa mtu aliyekufa.
Na ndio maana wanajaribu kuhifadhi miili ya watu isiharibike kwa lengo la kuja kuiwekea uhai huko mbeleni itakapopatikana suluhu.
Utasubiri sana hakuna cha parapanda wala paramagambaMi ninavyo juwa parapanda lita pulizwa Mara mbili
Mara ya kwanza watu wote watakufa Mara ya pili watu wrote watafufuka.
Una nukuu barua za paulo kujenga hoja zako wakati humwamini?Imani ya utatu mtakatifu inaweza kuwa msingi mkuu wa imani ya Ukristo lakini haina ukweli au msingi wowote kutoka kwenye Maandiko Matakatifu - imani yote imeundwa na mwanadamu kwa asili yake.
Huu ni mfano - mwingine wa kwamba ni jinsi gani imani za kipagani zilivyoingizwa kwenye ububusa wa ukristo ili kuufanya ukristo ukubalike zaidi kwa wapagani.
Wakristo walio wengi, wanapoombwa kuielezea imani hii (ya utatu), hawawezi kutoa jibu lolote isipokuwa kusema:
"Ninaamini hivyo kwa sababu niliambiwa niamini hivyo". Wanalielezea kwamba "Ni siri ya Mungu - hakuna mtu anayejua" ingawa Biblia inasema katika Wakorinto wa kwanza 14:33 kwamba:
"Mungu sio mwanzilishi wa utatanishi na migongano".
Hata aliyeipa nguvu na kuihimiza imani hii ya utatu aliona ugumu mkubwa katika kuielewa imani hii.
Inasemekana kwamba Athanasius, askofu aliyeitwa na kuitangaza rasmi imani hii ya utatu, alikiri kwamba alivyokuwa akizidi kuandika juu ya imani hii, ndivyo uwezo wake wa kuielezea imani hii ulivyokuwa ukizidi kupungua.
Kwa nini amwamni huyo Paulo na sio kujiamini yeye ?Una nukuu barua za paulo kujenga hoja zako wakati humwamini?
Samaki hukaangwa kwa mafuta yakeUna nukuu barua za paulo kujenga hoja zako wakati humwamini?
Sio lazima.Wadau, habari ya majukumu bila shaka muwazima wa afya, kama na wale wenye changamoto ya afya, niwaoe pole.
Bila kupoteza muda, twende kwenye mada husika. Hili neno "kila nafsi itaonja mauti," kiuhakika, halijaandikwa kwenye Biblia. Nadhani ni utashi tu wa mwadamu ameamua kutumia hili neno. Sasa turudi kwenye swali letu: Je, ni kweli kila nafsi itaonja mauti?
Ataepuliza nae atakufa au mbona story ya uongo kabisa hiiMi ninavyo juwa parapanda lita pulizwa Mara mbili
Mara ya kwanza watu wote watakufa Mara ya pili watu wrote watafufuka.
Atakufa naeAtaepuliza nae atakufa au mbona story ya uongo kabisa hii
niulize chochite kuhusu utatu nami ntakujibu.Imani ya utatu mtakatifu inaweza kuwa msingi mkuu wa imani ya Ukristo lakini haina ukweli au msingi wowote kutoka kwenye Maandiko Matakatifu - imani yote imeundwa na mwanadamu kwa asili yake.
Huu ni mfano - mwingine wa kwamba ni jinsi gani imani za kipagani zilivyoingizwa kwenye ububusa wa ukristo ili kuufanya ukristo ukubalike zaidi kwa wapagani.
Wakristo walio wengi, wanapoombwa kuielezea imani hii (ya utatu), hawawezi kutoa jibu lolote isipokuwa kusema:
"Ninaamini hivyo kwa sababu niliambiwa niamini hivyo". Wanalielezea kwamba "Ni siri ya Mungu - hakuna mtu anayejua" ingawa Biblia inasema katika Wakorinto wa kwanza 14:33 kwamba:
"Mungu sio mwanzilishi wa utatanishi na migongano".
Hata aliyeipa nguvu na kuihimiza imani hii ya utatu aliona ugumu mkubwa katika kuielewa imani hii.
Inasemekana kwamba Athanasius, askofu aliyeitwa na kuitangaza rasmi imani hii ya utatu, alikiri kwamba alivyokuwa akizidi kuandika juu ya imani hii, ndivyo uwezo wake wa kuielezea imani hii ulivyokuwa ukizidi kupungua.
Maain da kum yanfadu wamaain da llaahi baaqin
niulize chochite kuhusu utatu nami ntakujibu.
kuanzisha nini?Wewe ndiyo uliyeianzisha au ?
Huo utatu ?kuanzisha nini?
hapana upo kwenye biblia soma waraka wa 1 wa yohana sura ya 5 msitari wa 8...inasema kuna watatu washuhudiao mbingu Baba, Mwana na Roho mtakatifu ...Huo utatu ?
hapana upo kwenye biblia soma waraka wa 1 wa yohana sura ya 5 msitari wa 8...inasema kuna watatu washuhudiao mbingu Baba, Mwana na Roho mtakatifu ...