Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
hapana upo kwenye biblia soma waraka wa 1 wa yohana sura ya 5 msitari wa 8...inasema kuna watatu washuhudiao mbingu Baba, Mwana na Roho mtakatifu ...
Sasa chagua lipi kati ya yafuatayo ambalo ni neno la Mungu kuhusu 1 Yohana 5:7, NKJV au NAS?
"Kwa maana wako watatu washuhudiao mbinguni, Baba, na Neno, na Roho Mtakatifu; na watatu hawa ni umoja." (Biblia ya NKJV)
--AU--
"Naye Roho ndiye ashuhudiaye, kwa sababu Roho ndiye kweli." (Biblia ya NAS)
Biblia mbili hapo juu (NKJV na NAS) ni mojawapo ya Biblia zinazotumiwa sana miongoni mwa Wakristo.
Unaona mkanganyiko mkubwa miongoni mwa tafsiri zao!.