Je, Kilichomkuta Salum Mwalimu CHAUMMA kumkuta na John Heche CHADEMA?

Je, Kilichomkuta Salum Mwalimu CHAUMMA kumkuta na John Heche CHADEMA?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Kwasababu ni wazi,
kwamba sababu wanazotuhumiwa nazo zina fanana, ni zile zile tu za matumizi mabaya ya fedha za chama, matumizi mabaya ya ofisi, matumizi mabaya ya madaraka na matumizi mabaya ya rasilimali za chama kwa matanuzi, maslahi na manufaa binafsi na familia zao.

Je,
tutegemee wimbi, na dhoruba hizi za kisiasa kupiga ndani ya vyama vingine vya siasa nchini ukiachilia mbali CCM ambayo masuala yake yote ya kifedha ni madhubuti na hufanyika kidigitali pekee na kwenye mifumo inayosomana?

Unadhani bundi huyo wa masuala ya upigaji wa pesa za chama, atatua chama gani cha siasa baada ya kufanikiwa kuivuruga na kumaliza kazi chadema?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom