Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Ndio demokrasia. Wengi wape.Maslahi yanayohatarisha usalama wa taifa lao wenyewe?
Mara kibao Democrats wamepambana sana kufanya Gun control imeshindikana.
Republican hawaamini kama bunduki ndio zinaua watu, wao wanaamini watu ndio wanaua watu.
Na siasa za US zilivyo, huwa ni ngumu sana ku-take control of Senate, House of representatives na presidency kwa pamoja.