Ndio demokrasia. Wengi wape.Maslahi yanayohatarisha usalama wa taifa lao wenyewe?
Kwa hapa Tanzania watu walikuwa wanataka uhuru kama huu uliopitiliza hususan wakati wa uongozi wa Rais JPMNa kuhusu wamarekani kutembea na silaha, ni matokeo ya:
- Uhuru mkubwa binafsi wa watu
Penzi la dhati bado lipo sana tu. Mimi nilifanya umalaya na wanaume wengi enzi za ujana ila nikaona nitulie na sasa ni mume na familia yangu ya watoto 2.
Yawezekana waliona kuna watu walikuwa na uhuru wa aina hiyo hapa hapa nchini. Muhimu kusiwe na matabaka.Kwa hapa Tanzania watu walikuwa wanataka uhuru kama huu uliopitiliza hususan wakati wa uongozi wa Rais JPM
Samia aliposema yeye ni kiongozi anayewajali sana wanyonge na watu wa chini wapinzani walidhani anatania?Kwa hapa Tanzania watu walikuwa wanataka uhuru kama huu uliopitiliza hususan wakati wa uongozi wa Rais JPM
Kwahiyo una ID mbili, unaandika na kujijibu🤣Samia aliposema yeye ni kiongozi anayewajali sana wanyonge na watu wa chini wapinzani walidhani anatania?
Kaka kwani tunajuana mimi na wewe?Kwahiyo una ID mbili, unaandika na kujijibu🤣
Aisee
Hizi mada humu huwa unaandikia unaojuana nao ?Kaka kwani tunajuana mimi na wewe?
Mada zipi tena wee kaka jamani?Hizi mada humu huwa unaandikia unaojuana nao ?
Lissu Aliwatetea Mabeberu baada ya kuona maji yamezidi Unga yakaja kuomba radhi kwa Rais Samia.Mada zipi tena wee kaka jamani?
Wewe umeolewa mkuu?Pesa inaweza kukupa ngono tu kwa mwanamke malaya na sio penzi la dhati. Upo hapo baba?
Aha kumbe ulishakuwaga "mlezi wa wanna"!! aaha basi Tena.Nimekula saaaaana pesa za boyfriends wa mashosti zangu. Nimewachuna haswaaa. Nilifanya sana umalaya enzi nipo chuo IFM na mabosi wa pale town hivyo ninajua ninachokisema.
Sasa nimeolewa, nipo na watoto 2 Iringa. Njoo unywe ulanzi.
Mkuu pesa ndo Kila kitu ..Kama wewe umesema kuwa umeishi kwenye umasikini inakuwaje usiamini Kama pesa ndo Kila kitu? Aise Kama huamini pesa ndo Kila kitu basi bado uko mbali na mafanikio.Kwenye mada yangu kuu, kuna kipande nimeandika kwamba "HATA MIMI BADO NINAPENDA SANA PESA"
Soma tena kisha utaelewa mzee baba.
Njoo PMWewe umeolewa mkuu?
Unafeli.Njoo PM
Ukisema pesa ndio kila kitu unakuwa na maana gani mkuu? Marekani na pesa zake anaomba suluhu kwa wanamgambo.Mkuu pesa ndo Kila kitu ..Kama wewe umesema kuwa umeishi kwenye umasikini inakuwaje usiamini Kama pesa ndo Kila kitu? Aise Kama huamini pesa ndo Kila kitu basi bado uko mbali na mafanikio.
Usje ukaamini unachokiona kwa macho, Marekan n mjanja sana na akili mingi.Ukisema pesa ndio kila kitu unakuwa na maana gani mkuu? Marekani na pesa zake anaomba suluhu kwa wanamgambo.
Hahahahaaa inawezekana akawa anazuga?Usje ukaamini unachokiona kwa macho, Marekan n mjanja sana na akili mingi.
Thats actually what he is doingHahahahaaa inawezekana akawa anazuga?