Je, kinachoendelea sasa katika nchi tajiri ya Marekani ni uthibitisho kwamba pesa sio kila kitu (Money can't buy everything)?

Kuhusu Taliban, Marekani ilikuwa inajidanganya kuwa wanakwenda kuutokomeza ugaidi Iraq na Afghanistan. Hawana silaha wala fedha, ila wana watu tangu vizazi mpaka vizazi, ambao ukiwafuata kwenye ardhi yao, basi ujue shughuli unayo.
 
Usishangae sana wakati mwingine kubali kuweka poo na mjinga ili uishi salama.Mjinga ukila naye poo hawezi kukudhuru.Mmarekani amegundua kuwa anapoteza hela zake nyingi kwa ajili ya kupigana na vijitu vidogo vidogo ambavyo havionekana amegundua bora yaishe afanye mambo mengine ya ziada MUAMERIKA ana akili sio mjinga anajua anachokifanya.
Mimi nina jirani yangu mmoja alikuwa mkorofi ajabu anytime anauwezo wa kukutoa roho au kukufanyizia mbaya na watu walikuwa wanamuogopa ajabu alikuwa rafiki yangu sana na ananiheshimu si ajabu alikuwa hata ananilinda hadi majirani walikuwa wananishangaa kuwa poo na jirani kichaa tumeishi naye kwa amani hadi anafariki
 
Acha kujiona unajua kila kitu USA sio mjinga anajua nini anafanya ndio maana akamuaa aingie kwenye deal la hela na wanamgambo....sasa wewe uko huku wami dakawa unaona usa kafeli hebu jitafakali mkuu mbona unatatalika sana kama mahindi yapo kwenye moto
 
Rais wa sasa wa Marekani anapenda suluhu yeye ni Democratic hivyo anaona ni bora kuongea kwanza na sio kuchukua hatua kabla. Sio kwamba wameshindwa hawajwahi kushindwa.
 
Rais wa sasa wa Marekani anapenda suluhu yeye ni Democratic hivyo anaona ni bora kuongea kwanza na sio kuchukua hatua kabla. Sio kwamba wameshindwa hawajwahi kushindwa.
Kushindwa wameshindwa. Tangu 2001 mpaka sasa hakuna kinachoeleweka? Walifikiri akina Osama waliwashinda Urusi kwa bahati mbaya.
 
USA sio mjinga anajua nini anafanya ndio maana akamuaa aingie kwenye deal la hela na wanamgambo....sasa wewe uko huku wami dakawa unaona usa kafeli hebu jitafakali mkuu mbona unatatalika sana kama mahindi yapo kwenye moto
Mbona umeandika kwa ku-panic? Hao USA wanakulipa pesa? Au unafanya kazi ubalozini kwako unaogopa kufukuzwa ajira?
 
Kuna scenatio flani hivi

Tajiri anapokutana na maskini aliyekata tamaa huwa na woga juu ya maskini kwa sababu maskini yeye hajali aidha kama atakufa au la hasa kukitokea mgongano na tajiri

Tajiri yeye sio kwamba anapenda amini hapana bali ni uoga anapotathimini juu ya kuzitumia mali zake kujistarehesha na hapo ndipo anapoogopa kuumia(kimwili)au hata mauti


Nawasilisha
 
Thanks bro.
 
Rais Samia amefungua balozi mpya katika nchi 8 ikiwemo Israel, Mungu ambariki sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…