Je, Kinana bado ana uraia wa nchi mbili?

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
nilimsikia vuvuzela Cyprian Musiba enzi za utawala wa kayafa akibwabwaja kuwa bwana Abdulhman Kinana alikuwa na uraia wa nchi mbili na tuhuma hizi hazijawahi kukanushwa na Kinana mwenyewe

Sasa kama mtu ana uraia wa nchi mbili na bado anakabidhiwa nafasi kubwa kabisa kwenye chama dola je polepole akisema chama kimevamiwa na wahuni hatutakiwi kumuamini
 
Mtoa hoja just relax, hata wewe unatambulika vipi kama ni mtanzania?mistakes zilifanywa na awamu ya kwanza kwa makusudi mazima hawakuona umuhimu wa national IDs,na walifanya hivi kwa makusudi mazima ya kutumia uraia kama political weapon, kuongea kwangu kiswahili fasaha hakunifanyi mimi kuwa raia wa nchi hii au kuongea kwangu kindendeule;tumo in a pithole country, suala la URAIA inabidi tuanze upya sio kuutia viraka kama tunavyofanya kwenye hii T1 yetu
 
Watu wote waliozaliwa Tanganyika kabla ya Uhuru ni watanganyika na baadae watanzania.
Huyu alikuwa Karnali wa jeshi letu. Amejitoa kwa nchi kuliko hata wewe Mndengereko uliyekuwa unawinda ndege wenzako wakiwa vitani.
 
..alikuwa Mkufunzi / mwalimu wa SIASA jeshini.

. Huyu sio sawa na Makanali waliokuwa wakiongoza vikosi ktk uwanja vita iwe Uganda, Msumbiji, Shelisheli, etc.
 
nilimsikia vuvuzela Cyprian Musiba enzi za utawala wa kayafa akibwabwaja kuwa bwana Abdulhman Kinana alikuwa na uraia wa nchi mbili na tuhuma hizi hazijawahi kukanushwa na Kinana mwenyewe

Sasa kama mtu ana uraia wa raia mbili na bado anakabidhiwa nafasi kubwa kabisa kwenye chama dola je polepole akisema chama kimevamiwa na wahuni hatutakiwi kumuamini

Huyu mzee kapigania nchi Uganda kabla ya kujadili wato ovyo tujiulize je wewe umewahi kutoa maisha yako kwa taifa …
 
Al
nilimsikia vuvuzela Cyprian Musiba enzi za utawala wa kayafa akibwabwaja kuwa bwana Abdulhman Kinana alikuwa na uraia wa nchi mbili na tuhuma hizi hazijawahi kukanushwa na Kinana mwenyewe

Sasa kama mtu ana uraia wa raia mbili na bado anakabidhiwa nafasi kubwa kabisa kwenye chama dola je polepole akisema chama kimevamiwa na wahuni hatutakiwi kumuamini
Al Shabab wamehamia CCM
 
Back
Top Bottom