Je, Kinana bado ana uraia wa nchi mbili?

Kama alikuwa uwanja wa mapambano na akahamsisha wenzie basi ndo kupigana kwenyewe huko. Hata askari mpishi aendaye kupikia wengine naye anahesabika kapigana

..utakuwa unafanya utani mbaya ikiwa utamlinganisha Kinana na Makanali wapiganaji kama Hassan Boma [ vifaru ] au Tumbi [ mizinga] ktk uwanja wa mapambano.
 
Watu wote waliozaliwa Tanganyika kabla ya Uhuru ni watanganyika na baadae watanzania.
Huyu alikuwa Karnali wa jeshi letu. Amejitoa kwa nchi kuliko hata wewe Mndengereko uliyekuwa unawinda ndege wenzako wakiwa vitani.
Hajafanya chochote jeshini. Huyu na mwenzake Msoga walipewa vyeo vya Kanali jeshini kwa sababu ya siasa za jeshini 2. Period!
 
nilimsikia vuvuzela Cyprian Musiba enzi za utawala wa kayafa akibwabwaja kuwa bwana Abdulhman Kinana alikuwa na uraia wa nchi mbili na tuhuma hizi hazijawahi kukanushwa na Kinana mwenyewe

Sasa kama mtu ana uraia wa nchi mbili na bado anakabidhiwa nafasi kubwa kabisa kwenye chama dola je polepole akisema chama kimevamiwa na wahuni hatutakiwi kumuamini
Kwani hujui kama ni msomali?
 
Vuvuzela alisema kinana ana passport ya Canada, lakini si ajabu wengi wa 'wakubwa' wanazo passport za nchi nyingine. Sie wanyonge ndio tunahubiriwa 'uzalendro'
Upo sahihi kwa asilimia 100.
Wengi wa vigogo wana pass zaidi ya Tanzania.
Cha ajabu zaidi,huyo ndiye anajiita mzalendo. Pia utakuta mzalendo huyo kahifadhi mabilioni yake kwenye mabenki nnje ya nchi.
 
nilimsikia vuvuzela Cyprian Musiba enzi za utawala wa kayafa akibwabwaja kuwa bwana Abdulhman Kinana alikuwa na uraia wa nchi mbili na tuhuma hizi hazijawahi kukanushwa na Kinana mwenyewe

Sasa kama mtu ana uraia wa nchi mbili na bado anakabidhiwa nafasi kubwa kabisa kwenye chama dola je polepole akisema chama kimevamiwa na wahuni hatutakiwi kumuamini
Muogopeni Mungu wajameni....huyu Bwana Mkubwa ni mzaliwa wa Arusha na tumesoma naye dini madrasa,shule ya msingi,sekondari na high school alisoma Old Moshi Secondary iliyopo Moshi.Familia yao ni ya kawaida kabisa na hapa A town ipo katikati ya mji kama mita 50 kutoka stendi kuu ya mabasi.Swala la uraia pacha ni uwongo mkubwa saana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Usijali sana hawa ndio watanzania wa sasa...wanarithishana habari za uongo....wakati mwingine ni kuwaacha tu maana ni namna moja wapo ya kujifariji....
 
Kiroboto siku hizi kapotelea wapi? alikuwa bingwa wa kumfanya kila mtu asiyempenda ni adui wa nchi😂
 
nilimsikia vuvuzela Cyprian Musiba enzi za utawala wa kayafa akibwabwaja kuwa bwana Abdulhman Kinana alikuwa na uraia wa nchi mbili na tuhuma hizi hazijawahi kukanushwa na Kinana mwenyewe

Sasa kama mtu ana uraia wa nchi mbili na bado anakabidhiwa nafasi kubwa kabisa kwenye chama dola je polepole akisema chama kimevamiwa na wahuni hatutakiwi kumuamini
Kuamini kilichosemwa na Cyprian Musiba ni aina mojawapo ya magonjwa ya akili.
 
nilimsikia vuvuzela Cyprian Musiba enzi za utawala wa kayafa akibwabwaja kuwa bwana Abdulhman Kinana alikuwa na uraia wa nchi mbili na tuhuma hizi hazijawahi kukanushwa na Kinana mwenyewe

Sasa kama mtu ana uraia wa nchi mbili na bado anakabidhiwa nafasi kubwa kabisa kwenye chama dola je polepole akisema chama kimevamiwa na wahuni hatutakiwi kumuamini
Ili Uzi unyooke Sawa sawa taja hizo nchi zenye uraia wake
 
Uzuri wake siku hizi mnatwangana CCM kwa CCM. Safi kabisa. Muendelee hivyohivyo.
Mi nadhani wanatwangana CCM vs Sukuma gang(wale wanaoamini katika kuteka, kutesa na kuua wao huita kunyoosha nchi).
Acha mchuano uendelee.
 
Vuvuzela alisema kinana ana passport ya Canada, lakini si ajabu wengi wa 'wakubwa' wanazo passport za nchi nyingine. Sie wanyonge ndio tunahubiriwa 'uzalendro'.
Kwa hiyo kuwa na passport ya kanada sio uzalendo?
 
Ni kinyume Na sheria Za Tz kuwa Na uraia wa nchi mbili. Hawajaruhusu bado
Ok.But mtu anayevunja sheria haimaanishi kuwa Si mzalendo. Wapo wengi ni wazalendo ila ni wavunja sheria.na wapo wavunja Sheria wazalendo.sasa sijajua kinana anaangukia wapi!
 
Si kinana Tu , CCM wote hawajui sheria wala katiba
 
Back
Top Bottom