Je, Kinana bado ana uraia wa nchi mbili?

Vuvuzela alisema kinana ana passport ya Canada, lakini si ajabu wengi wa 'wakubwa' wanazo passport za nchi nyingine. Sie wanyonge ndio tunahubiriwa 'uzalendro'.
Huwa najiuliza sana mtu anawezaje kuwa na passport mbili? Majina kwenye passport hufanana? Kwa mfano akisafiri trip nyingine akatumia passport nyingine si lazima kwenye ukaguzi wa fingerprint si itaonesha alishawahi pita hapo kabla kwa passport nyingine hivyo kujikuta matatani?
 
Kinana hana uraia wa chi 2ni uongo na unafiki mtupu
 
Wenyeji asiili wa Tanganyika ni wahadzabe..na hawaangaiki na maujinga yenu..wao wako bize kuwinda wanyama na kula matunda.

#MaendeleoHayanaChama
 
Huyo vuvuzela Sahv analialia tu

Ova

Yule Mshashi mpuuzi sana atakufa njaa safari hii.
Alishajifanya kuwa ni Vuvuzela la Dikteta. Mungu alipoing'oa roho ya Dikteta sasa hana mfadhili mwingine wa kumuweka mujini
 
Kuwa na uraia wa nchi mbili ni uhuni?
Sema unamchongea Musiba (lialia)
 
Wenyeji asiili wa Tanganyika ni wahadzabe..na hawaangaiki na maujinga yenu..wao wako bize kuwinda wanyama na kula matunda.

#MaendeleoHayanaChama
Kumbe wahadzabe ndio watanganyika wenyewe
 
Uraia nchi mbili sio issue uwe siri au wazi awe Magufuli ,Kinana au yeyote issue ni anaisaidiaje Tanzania kutoka Kimaendeleo? Na kutokomeza mijizi na mifisadi ndani ya CCM na Serikali?
 
..hata akiwa nao Mtz wa kawaida atafanya nini?
Lakini yeye hatakuwa "Mtz wa kawaida" , au nimekuelewa visivyo?
Kinana siyo Mtz wa kawaida kwa nafasi alizohudumia hapa nchini, nafasi ambazo zimempa fursa nyingi za kujua mambo mengi mhimu ya nchi hii.
 
ATAFUTE NA WA NCHI YA 4 RUKSA
 
Vuvuzela alisema kinana ana passport ya Canada, lakini si ajabu wengi wa 'wakubwa' wanazo passport za nchi nyingine. Sie wanyonge ndio tunahubiriwa 'uzalendro'.

Mbavu SinaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
sasas hivi kimetendeka kitu kiitwacho politicaly humpty dumpty!Sisi kama raia inabidi kusubili miezi mitatu tuone hatima yake.
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…