Je, Kinana bado ana uraia wa nchi mbili?

Na like suala LA ujangili lilifikia wapi?
 
Lakini yeye hatakuwa "Mtz wa kawaida" , au nimekuelewa visivyo?
Kinana siyo Mtz wa kawaida kwa nafasi alizohudumia hapa nchini, nafasi ambazo zimempa fursa nyingi za kujua mambo mengi mhimu ya nchi hii.

..hoja yangu ni kwamba Mwenyekiti wa Ccm ameshamteua, hivyo hakuna Mtanzania wa kuzuia uteuzi huo.

..wako Watz ambao wametumikia ktk nafasi sawa na Kinana au hata kumzidi, lakini maadam Kinana ameteuliwa na Mwenyekiti wa Ccm, ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu, hakuna mwenye uwezo wa kubadili uamuzi huo.
 
Tatizo ni vijana wa enzi za kulamba asali, uliza ni sababu zipi aliacha kugombea ubunge wa jimbo la Arusha hapo siku za nyuma.
 
Naona 'statement' yako hii ni kama 'tongue in chick'!

Ninakubaliana nawe.

Lakini hata huyu aliyeweka mada hii hapa nadhani hajui msimamo wa serikali anayoisema ina msimamo gani katika jambo hilo, vinginevyo asingehangaika na mada ambayo jibu lake liko wazi.
 
Kwenye nchi zinazoruhusu uraia pacha sio ishu unakuwa na passport mbili majina Yale Yale so unamua we ukienda wapi utumiie ipi
 
Tatizo ni vijana wa enzi za kulamba asali, uliza ni sababu zipi aliacha kugombea ubunge wa jimbo la Arusha hapo siku za nyuma.
Hukumsaidia uliyemjibu, na hata wengine wanaokusoma. Sasa sijui unataka watambae na kugalagala mavumbini kwanza ndipo uwaeleze sababu, sijui!
 
..i am just being honest here.

..hakuna utawala wa SHERIA hapa Tz.

..Mwenyekiti wa Ccm / Rais ndiyo sheria na katiba.
Ukweli ni kwamba, waTanzania ndio wameruhusu iwe hivyo.

Sioni kabisa mambo kama haya yakifanyika Kenya (kwa hili ni mojawapo ya mambo machache ninayowapongeza sana kwayo.)
 
Usishangae kitu, kuna uwezekano kabisa huyu jangili Kınana kuwa na uraia wa nchi mbili. CCM si chama cha kuiongoza Tanzania kuelekea dunia ya pili na sasa tuko chini ya utawala wa huyu Mama anaturudisha kwenye ujinga ule aliokuwa anaukataa Magufuli. Mtaona tu, kila kukicha tunarudi nyuma kimaendeleo na kwa kuwa yuko chini ya Kikwete.....misafari ya kipuuzi ya kwenda kula tende Uarabuni na kutalii Ulaya yataanza, subirini tu muone.
 
Huyu mzee kapigania nchi Uganda kabla ya kujadili wato ovyo tujiulize je wewe umewahi kutoa maisha yako kwa taifa …
Tizama suala la kupigana vita halituhusu yeye alikuwa ameajiriwa kama askari kwa hiyo kupigana vita ni kazi yake na jukumu lake lipo hata kwenye Job description yake tumia ubongo japo kidogo
 
Uraia pacha wengi wao wanao wakimwaga list utasema na nyie mlichelewa wapi [emoji23][emoji23]

Ukitembea utapata tu mzee kama unataka hata ya Afghan
 
Uraia pacha wengi wao wanao wakimwaga list utasema na nyie mlichelewa wapi [emoji23][emoji23]

Ukitembea utapata tu mzee kama unataka hata ya Afghan
Hata Waziri wenu Masauni alijiripua UK anao uraia wa UK Na Somalia
 
Tunasubiri kuona watu wakiwa Na makalio makubwa
 
..hakuwa kwenye vikosi vinavyopigana vita, alikuwa kwenye kikundi cha Makamisaa wa Siasa ambacho kazi yake ilikuwa uhamasishaji kwa masuala ya kuimba n.k.
Kama alikuwa uwanja wa mapambano na akahamsisha wenzie basi ndo kupigana kwenyewe huko. Hata askari mpishi aendaye kupikia wengine naye anahesabika kapigana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…