Kama alikuwa uwanja wa mapambano na akahamsisha wenzie basi ndo kupigana kwenyewe huko. Hata askari mpishi aendaye kupikia wengine naye anahesabika kapigana
Vita siyo mizinga na vifaru tu...utakuwa unafanya utani mbaya ikiwa utamlinganisha Kinana na Makanali wapiganaji kama Hassan Boma [ vifaru ] au Tumbi [ mizinga] ktk uwanja wa mapambano.
Hajafanya chochote jeshini. Huyu na mwenzake Msoga walipewa vyeo vya Kanali jeshini kwa sababu ya siasa za jeshini 2. Period!Watu wote waliozaliwa Tanganyika kabla ya Uhuru ni watanganyika na baadae watanzania.
Huyu alikuwa Karnali wa jeshi letu. Amejitoa kwa nchi kuliko hata wewe Mndengereko uliyekuwa unawinda ndege wenzako wakiwa vitani.
Kwani hujui kama ni msomali?nilimsikia vuvuzela Cyprian Musiba enzi za utawala wa kayafa akibwabwaja kuwa bwana Abdulhman Kinana alikuwa na uraia wa nchi mbili na tuhuma hizi hazijawahi kukanushwa na Kinana mwenyewe
Sasa kama mtu ana uraia wa nchi mbili na bado anakabidhiwa nafasi kubwa kabisa kwenye chama dola je polepole akisema chama kimevamiwa na wahuni hatutakiwi kumuamini
Upo sahihi kabisaHajafanya chochote jeshini. Huyu na mwenzake Msoga walipewa vyeo vya Kanali jeshini kwa sababu ya siasa za jeshini 2. Period!
Upo sahihi kwa asilimia 100.Vuvuzela alisema kinana ana passport ya Canada, lakini si ajabu wengi wa 'wakubwa' wanazo passport za nchi nyingine. Sie wanyonge ndio tunahubiriwa 'uzalendro'
Hata Waziri wenu Masauni alijiripua UK anao uraia wa UK Na Somalia
Masauni msomali?
Na mimi sijui nichukue ya Iraq?
Muogopeni Mungu wajameni....huyu Bwana Mkubwa ni mzaliwa wa Arusha na tumesoma naye dini madrasa,shule ya msingi,sekondari na high school alisoma Old Moshi Secondary iliyopo Moshi.Familia yao ni ya kawaida kabisa na hapa A town ipo katikati ya mji kama mita 50 kutoka stendi kuu ya mabasi.Swala la uraia pacha ni uwongo mkubwa saana.nilimsikia vuvuzela Cyprian Musiba enzi za utawala wa kayafa akibwabwaja kuwa bwana Abdulhman Kinana alikuwa na uraia wa nchi mbili na tuhuma hizi hazijawahi kukanushwa na Kinana mwenyewe
Sasa kama mtu ana uraia wa nchi mbili na bado anakabidhiwa nafasi kubwa kabisa kwenye chama dola je polepole akisema chama kimevamiwa na wahuni hatutakiwi kumuamini
Hajafanya chochote jeshini. Huyu na mwenzake Msoga walipewa vyeo vya Kanali jeshini kwa sababu ya siasa za jeshini 2. Period!
Usijali sana hawa ndio watanzania wa sasa...wanarithishana habari za uongo....wakati mwingine ni kuwaacha tu maana ni namna moja wapo ya kujifariji....Muogopeni Mungu wajameni....huyu Bwana Mkubwa ni mzaliwa wa Arusha na tumesoma naye dini madrasa,shule ya msingi,sekondari na high school alisoma Old Moshi Secondary iliyopo Moshi.Familia yao ni ya kawaida kabisa na hapa A town ipo katikati ya mji kama mita 50 kutoka stendi kuu ya mabasi.Swala la uraia pacha ni uwongo mkubwa saana.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kuamini kilichosemwa na Cyprian Musiba ni aina mojawapo ya magonjwa ya akili.nilimsikia vuvuzela Cyprian Musiba enzi za utawala wa kayafa akibwabwaja kuwa bwana Abdulhman Kinana alikuwa na uraia wa nchi mbili na tuhuma hizi hazijawahi kukanushwa na Kinana mwenyewe
Sasa kama mtu ana uraia wa nchi mbili na bado anakabidhiwa nafasi kubwa kabisa kwenye chama dola je polepole akisema chama kimevamiwa na wahuni hatutakiwi kumuamini
Ili Uzi unyooke Sawa sawa taja hizo nchi zenye uraia wakenilimsikia vuvuzela Cyprian Musiba enzi za utawala wa kayafa akibwabwaja kuwa bwana Abdulhman Kinana alikuwa na uraia wa nchi mbili na tuhuma hizi hazijawahi kukanushwa na Kinana mwenyewe
Sasa kama mtu ana uraia wa nchi mbili na bado anakabidhiwa nafasi kubwa kabisa kwenye chama dola je polepole akisema chama kimevamiwa na wahuni hatutakiwi kumuamini
Mi nadhani wanatwangana CCM vs Sukuma gang(wale wanaoamini katika kuteka, kutesa na kuua wao huita kunyoosha nchi).Uzuri wake siku hizi mnatwangana CCM kwa CCM. Safi kabisa. Muendelee hivyohivyo.
Kwa hiyo kuwa na passport ya kanada sio uzalendo?Vuvuzela alisema kinana ana passport ya Canada, lakini si ajabu wengi wa 'wakubwa' wanazo passport za nchi nyingine. Sie wanyonge ndio tunahubiriwa 'uzalendro'.
Kwa hiyo kuwa na passport ya kanada sio uzalendo?
Ok.But mtu anayevunja sheria haimaanishi kuwa Si mzalendo. Wapo wengi ni wazalendo ila ni wavunja sheria.na wapo wavunja Sheria wazalendo.sasa sijajua kinana anaangukia wapi!Ni kinyume Na sheria Za Tz kuwa Na uraia wa nchi mbili. Hawajaruhusu bado
Si kinana Tu , CCM wote hawajui sheria wala katibaOk.But mtu anayevunja sheria haimaanishi kuwa Si mzalendo. Wapo wengi ni wazalendo ila ni wavunja sheria.na wapo wavunja Sheria wazalendo.sasa sijajua kinana anaangukia wapi!