It means yeye ni raia 100%, hata baba yake alikuwa raia kama maelezo yako ni facts achilia mbali ya kwamba angeweza kuwa raia hata kama baba yake angekuwa raia wa nchi nyingine na hata kama angekuwa amezaliwa na kukulia nje. Yaani uraia wa mama yake tu unatosha kabisa kumbeba, siasa ndiyo huwa zinaingizwa kama namna ya kunyamazisha watu.Baba yake msomali mama yake ni mbulu lakini baba yake ni msomali aliyezaliwa tanzania
Vita siyo mizinga na vifaru tu.
Kila mtu anaplay role yake aliyopangiwa na Jeshi
Inategemea unamaanisha nini unaposema neno "umuhimu"..kwa hiyo ktk VITA vya Uganda kikosi cha waimba KWAYA cha Colonel Kinana kilikuwa na umuhimu sawa na kikosi cha MIZINGA cha Colonel Tumbi?
Kuwa na passport mbili haimfanyi mtu kutokuwa mzal3ndo...Vuvuzela alisema kinana ana passport ya Canada, lakini si ajabu wengi wa 'wakubwa' wanazo passport za nchi nyingine. Sie wanyonge ndio tunahubiriwa 'uzalendro'.
Nyerere alikuwa na Bryson, Jamal na Barbro Johnsson. Au hukuwasikia?Nyerere angemwacha jeshini kweli endapo angekua msomalia?